Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

tabia gani zilimfanya Musa asiingie nchi ya Canaam
 
Ahsante mkuu kwa kunitakia mema, nawe ikufudie hivyohivyo. Nitaendelea Kusimama kwenye misingi ya ubinaadamu na utu as I'm supposed to be. Though my compas is kinda broken
🤭🤭🤭🤭😆😆😆😆
Nadhani Sikuumbiwa kitu hichi naona...Yupo mwanamke mmoja tu humu ninaempenda ila ndo hivo I can't have her because I too sought this shiny little precious goodlord I apprehended and held one in my hand...It was the best thing to ever had, Vinchii Prospered and It appeared like I've caught my Variant. I named that maiden my North star, yes was my north star coz was guiding and Directing my Compas throught my Journey in this sacredly Realm...I experienced the best version of myself coz my north star made me to retrieve that inner version of myself. I was at my full potential back then.

Wrong! I was wrong after sometime destiny haunted me and caught me, I tried to run to dread it, run from it,escape from it but destiny arrived all the same -Nonetheless it took all things from me including my North star and it casted me out..Banished me in the darkness to guide other to the treasurer "I shouldn't possess".
 
Mimi mwenyewe haiba yangu ni hiyo kwa kwel inanipa tabu ila namshukuru Mungu kuwa hivii, mpaka sasa nina miaka 23 ila sijawah kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, na marafiki wa karibu sina kabisa, kipindi nipo chuo nilikuwa nikirud ni ndani tu, hata kama sijaenda nakuwa tu ndani, na sijawahi kwenda kula bata yoyote na washkaji, na kuna msichana fulan alitokea kunipenda nikawa tu nampotezea mpaka sasa hivi siko nae vizurii anaona kama naringa lakin ndiyo nilivyoo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee shida iko wapi?
 
introvert ya nyoko
 
How inafunguka hebu nipe elimu[emoji3]
I hope everything is going well Pablo Blanco

First of All lazima uelewe kwamba God is Nature. Pia hii nature imeundwa na vitu viwili vyenye Uhai na visivyo vyenye Uhai (Living Things & Non-Living Things).
Lakini lazima uelewe kwamba kila chenye uhai kina sifa ya Kimungu ndani yake. Kwa sababu viumbe vyote nivyamwenyezi Mungu na yeye ndiye aliyevipa uwezo viwepo na vikawepo.
Ukirudi nyuma kwa babu zetu na bibi zetu waliamini kwamba kuna baadhi ya wanyama ukimuona au kukutana naye basi utaambatana na Good luck na kuna baadhi ya wanyama ukimuona na kukutana naye utaambatana na Bad Luck.
Kwa mkoa wa kilimanjaro kuna ndege wanamwita "Madidi" huyu ndege akilia Wazee huwa wanaamini mvua itakuwa kubwa sana kwa msimu huo. So hizi ni myths tu lakini ukichunguza sana unaweza kubaini ukweli ndani yake.

Kuna kitu kinaitwa Natural Selection ningependa tukihighlights kwanza kabla ya kufanya conclusion ya swali lako?
Natural Selection - Ni kitendo ambacho kiumbe hai anakuwa na uwezo wa kuadapt na kuchange kulingana na mazingira yanayomzunguka. Hii ni theory ambayo ilikuwa developed na Bwana Charles Darwin katika safari yake ya kufanya Research, South America na Pacific kwenye mimea, wanyama na fossils. Hatimaye kutoa kitabu kilichoitwa "On the Origin of Species" mwaka 1859.
Hii inamaana kwamba mazingira yanachagua wanyama fulani wenye distinctive features fulani kuishi eneo fulani. Ndiyo maana utakuta Polar Bears (Dubu) wanaishi kwenye maeneo yenye baridi kali yani Northern Arctic and Southern Antarctica lakini sio kwenye maeneo ya Joto kali. Huku Loxodonta Africana (Tembo) akiishi maeneo ya Tropical ambayo kiuhalisia ni maeneo yenye Joto. Kwa hiyo ukimwangalia Dubu utagundua anadistinctive features ambazo Tembo hana na ukimwangalia Tembo utagundua anadistinctive features ambazo Dubu hana. Mfano Polar Bears anauwezo wa kufanya Hibernation lakini Loxodonta Africana (Tembo) hawezi. Lakini pia Tembo ana masikio makubwa ambayo yamezungukwa na Blood Vessels kwa ajili ya kumsaidia kufanya Body Temperature Regulation lakini Polar Bear (Dubu) hana.
Kwa hiyo hata kwenye maisha kuna vitu wewe unavyo lakini mwingine hana na kuna vitu mwingine anavyo lakini wewe hauna. That's Nature How It works.

Kwa hiyo mtu anayefanya mambo mema kwanza nature itacount yale mema yote anayofanya na in the return kumletea mambo yaliyomema. Kwa iyo Nature na viumbe vilivyomo ndani ya Nature kumuhesabu kama ni Mtu mwema na Vice Versa is True.
 
Salute mate, Splendid narration ✊
 
Tunapata shida sana hii hali nnayo mm siwez interact na watu asee nko very selective kwenye marafiki in short sina marafiki wengi,nnapenda kukaa ndan muda mrefu ,furaha yangu ni kusafiri kimawazo
Hii ya kusafiri kimawazo nilikuwa nayo tangu nikiwa mdogo lakini sikuiona kama no tatizo lakini baada ya kukua niliiona kama ni tatizo nikawa ninaiepuka.

Nashukuru mungu kwa sasa naweza kuikontroo kwa kiasi fulani.
 
Ni vizuri kujikubali

Lakini nakushauri ujisomee vitabu vinavyohusia a na introverts ili uweze kujijua vizuri zaidi.

kwa sababu kuwa introvert haina maana ndio uishi maisha ya kujitenga au kutokuwa normal, bali unatakiwa kujijua tu wewe ni mtu wa aina gani na utachanagamana vipi na jamii kwa kuzingatia hali yako.

Maisha ni lazima yaendelee ipo siku utakuwa na mahusiano/utaoa
 
I got you...I hope utakuwa umesaidia watu wengi
 
Dadeki huyo ni mimi kabisa,nimeshajaribu njia zote kujaribu kuchange ila hola,,
hapa Wana aibu nyingi sana hasa kwa watu wasiowafahamu wala kuzoeana nao ,..
Umegusa mulemule,,,
vipi unaendeleaje
 
hao wanaokudhulumu uliwakopesha?
 
that's too much fam!!...wanawake wanapenda Sana watu wapole Kama wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…