Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Usipojijua utabaki unaishi maisha ya kuiga....nyingibe introverts wanapendwa sana na mademu
 
Exactly
 
Yaani wewe ni mimi kabisa, mimi hata uvaaji wangu wanasema ni wa kizee, japo nguo ninazo na pesa ya kununua nguo nzuri ninayo. Ila tu nahisi raha nikivaa kama mzee, mabwanga kwa sana, mashati makubwa n.k!
 
Yaani wewe ni mimi kabisa, mimi hata uvaaji wangu wanasema ni wa kizee, japo nguo ninazo na pesa ya kununua nguo nzuri ninayo. Ila tu nahisi raha nikivaa kama mzee, mabwanga kwa sana, mashati makubwa n.k!
unapenda Hip Hop?
 
Mimi nina ugonjwa, nashindwa kutafsiri viashiria anavyokuonesha msichana pindi akikupenda. Mara nyingi huwa naona ni viashiria vya kawaida tu, sasa ninaposhindwa kuelewa najikuta nachukiwa na kupata kashfa za kuwa naringa. Hivi ni viashiria gani kaka anvyoonesha msichana?
 
Ndio mkuu afu ndio maana wagunduzi wa vitu vikubwa hapa duniani ni introverted. Hautegemei mawazo sana ya watu. Hapa natoka chuo soon ola nyumbani hawajui ya kuwa Januari nasepa home.
Unasoma wapi chuo kaka?
 
Duh! Kwa hiyo sisi watu rough tuna kazi, yaani sisi wengine ni rough sana, tusingewezana, tungeishi pamoja kila mtu angechukua time yake!
 
Humu leo wote ni introverts? Haishangazi ila ni ajabu kidogo, kwa hiyo hakuna extroverts sio? Hapa ndipo ninapojifunza kuwa Waafrika walio wengi ni pretenders na hawana misimamo. Yaani kwa kuwa tu introverts wengi wanasifika kuwa smart, wana akili, ma-geneus, wabunifu n.k? Ingekuwa thread ihusuyo worth ya extroverts pia wengi wanaochangia wangekuwa extroverts, tumefika sehemu mbaya.
 
Hata mimi nilikuwa hivyo zamani.
viashiria ni vya kawaida tu inatokea mwanamke anapokutaka akikuona anapenda kujipitisha pitisha mbele yako mara kwa mara ili umuite na kumchombeza,kujichekeshachekesha mbele yako.
 
Hata mimi nilikuwa hivyo zamani.
viashiria ni vya kawaida tu inatokea mwanamke anapokutaka akikuona anapenda kujipitisha pitisha mbele yako mara kwa mara ili umuite na kumchombeza,kujichekeshachekesha mbele yako.
Mimi huona ni kawaida na hafanyi kwa kuwa ananitaka, bali kila mtu anaweza kufanya hivyo, kifupi nina mtazamo huo. Hii inapelekea nisiwe na hisia zozote za kujiongeza na kuishia kuambiwa naringa. Mimi ninaamini labda anitamkie wazi wazi kabisa ndipo nitaamini kuwa ananipenda, otherwise nitaona ni kawaida tu, maybe anafanya kama rafiki au jirani tu. Kama nakosea kwa mtazamo huu, nibadilike. Pia akijipitisha na ukamtongoza akakubali, vipi kama akikuchoka baada ya muda mfupi kwa kutoona vile alivyodhani upo? Imagine anakubadilikia na anakuambia hakutaki tena, inauma eeeh? Umakini unahitajika!
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza maswali yako inakuwa kama aibu au kauoga fulani,kwamba akinikataa itakuwaje.
Kwa hiyo sasa hivi ninachofanya natongozea mbali na nyumbani ili kuikwepa hiyo aibu.
Ila mafisi wenyewe huwa hawajali hata wakikataliwa wanakomaa tu tena wanajionyesha live mbele za watu kabisa.
Hiyo hali inatesa sana naijua vizuri unakuta confidence huna ya kuapproach na watu hawajui hilo wanakuchukia na kukuita mkoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…