Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Daah..hongera sana hicho nacho ni kipaji cha kipekee sana
 
Introverts ni wazuri sana wa kuwasiliana kwa maandishi nadhani asilimia kubwa hata kwenye mtongozano kwa njia ya simu/barua pepe(maandishi) wengi wao hufanikisha kumnasa wamtongozaye..

Ni watu wagumu sana kuwazoea,kupiga nao stori usipokuwa makini unaweza kuhisi wanajidai kumbe siyo na yamkini wakati unamuongelesha anakuwa kweli anatamani akujibu mpige sana stori kwa furaha mbishane labda masuala ya mipira ila anajikuta anashindwa yaani hawezi kudumu kwenye maongezi kwa dk nyingi bila kukinai na kuamua kukaa kimya na kusikiliza tu wengine..
 
Hakika hilo limeshanitokea mara nyingi nnamshukuru Mungu kuzaliwa hv japo changamoto zake zipo but sio nyingi kama faida tuzipatazo Sifa moja bora ya kwanza ya kuwa introvert ni kuheshimiwa na watu wote na huwezi kuta tunataniwa ovyo mitaani
 
Ulichokiandika ni sahihi kabisa mkuu
 
Mimi binafsi huwa sometimes naongea ila nikiongea KWA kipimo ambacho mimi napima kuwa nimeongea sana huwa najiskia empty Sana KWA ndani yaani Energy drain nabaki na feeling mbaya Sana nilikuwapo facebook nilikuwa nikichangia hoja KWA comment ,badae natulia alone naanza kuichambua hiyo comment mwisho wa siku comment zangu zote nilikuwa nafuta hahaha
Mwendo ukawa hivyo wasap nikikoment lazima nifute ,ile delete to All badae nikaja futa kbsa facebook account na wasup najiunga nikitaka huduma muhimu baada ya hiyo huduma nafuta
 
Dah! mkuu unatembea mulemule
 
Mi mwenyewe facebook ilianza hivo hivo mwisho wa siku nikafuta na acount yenyewe🤣🤣
 
Hakika tuko na the same character
 
Introverts maisha yetu kama muvi, sometimes nikijitafakari nabaki tu kufurahi mwenyewe
 
Hata mimi niko hvyo mkuu ni mvivu wa kuongea na mwanamke ana kwa ana ila akinipa namba tuchat niko na spidi sana.
Nina uwezo wa kumset mwanamke wa aina yeyote ata awe mke wa waziri tena ndani ya siku moja tu namaliza kazi.
Imagine kuna wanawake tena ukiwaangalia ni watu wa heshima lakini nina uwezo wa kumset ndani ya siku moja na huko huko aliko namshawishi hadi anavua nguo na kunionyesha uchi wake.
Ndio maana hii kitu imeniathiri pia kisaikolojia kuhusu imani kwa wanawake nawachukulia powa japo sio kwa makusudi.
 
Huwa unatumia pesa katika hilo? Kama ndio, basi kilichowashawshi si maneno yako sana, bali kikubwa ni pesa, kitu ambacho yeyote akiwa nacho anaweza kumshawishi yeyote.
 
Hakika hilo limeshanitokea mara nyingi nnamshukuru Mungu kuzaliwa hv japo changamoto zake zipo but sio nyingi kama faida tuzipatazo Sifa moja bora ya kwanza ya kuwa introvert ni kuheshimiwa na watu wote na huwezi kuta tunataniwa ovyo mitaani
Yes, na heshima ni kitu kikubwa sana.
 
Huwa unatumia pesa katika hilo? Kama ndio, basi kilichowashawshi si maneno yako sana, bali kikubwa ni pesa, kitu ambacho yeyote akiwa nacho anaweza kumshawishi yeyote.
Sina uhakika na hilo mkuu,huenda appearance yangu na profiles zangu zimekaa kama mtu mwenye pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…