Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Ndio niko hvyo.
Nikiwa na pesa hunijui na nisipokuwa na pesa pia hunijui huwa siwezi kunyenyekea na kujikomba kwa mabosi.
Mimi niko hivyo,pia sijui ku fake,sijui kujichekesha ili bosi wangu aone nafurahia story zake za kipuuzi,imewahi kunigharimu kipindi flani,nilifanya kazi shirika flani kubwa sikuweza kumnyeyekea bosi yoyote,wenzangu wakawa wanapandishwa vyeo mimi nikaachwa,kwa kujiamini kwangu nikaomba kuacha kazi,ila Mungu always yuko upande wangu,nilipoacha haikupita miezi 3 nikapata kazi kwenye shirika lingine kubwa na mambo yakawa mazuri sana kuliko kule nilikokuwa...
 
God has never left the introverts alone!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hayo ndio maisha yangu mimi kabisa kila mwaka nabadilisha makampuni wakati rafiki zangu wananyenyekea,kuwalamba miguu mabosi na wanaganda kwenye kampuni moja tu miaka yote hawana ujasiri wa kuondoka.
 
Introvert umefanya uhalifu gani nyuma ya keyboard, ukawa banned [emoji58]
Kuna michango yangu niliiifuta mods wakanipa tofali mkuu. Nashukuru nimerudi kwa parole
 

ila wanasifa nyingine!!
Mara nyingi ni malaya sana tena wa chini chini huwezi wajua!!..kama n mwanaume utakuta amekula mademu kalibia chuo kizma ndo mnashtuka!! na mkimyaa
 
Huu uzi kwangu hauishi utamu,ni moja ya nyuzi ambazo kila siku kwangu ziko current...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…