Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Anamaanisha kuongea mbele ya kadamnasi na pia kunakuwaga na shida ya kigugumizi na hofu uchwara
 
Namba 1 na 7 labda ni sifa binafsi but sio sifa jumuishi za kundi letu
 
Introvert mie napata tabu sana ktk kufanya maamuzi magumu/seriously uongozi haunifai!!!!!

But vipi nikijengwa kuwa kiongozi nitashindwa kutimiza majukum yangu kwasababu n introvert??
hii ni shida yako binafsi sio ya kundi letu
 
Ni kweli mimi mwenyewe nilichelewa sana mahusiano.
Mimi nilipata demu wa kwanza na kumvua nguo nikiwa chuo na umri wa miaka 25.
Nilioa nikiwa na miaka 34
Binafsi sina hakika kama sababu ni uoga but kwangu nahisi sababu ni zaidi ya hizi za kuwa intro maana nilichelewa sana kuwa na mademu na mimi ilikuwa the same age nikiwa chuo pia ingawa wanawake walikuwa wananitaka wengi si unajua tuna akili na ile ukimya
 
Mimi ninazo chache za introvert na choleric..
mahusiano naona kama nipo maabara ya chemical hatari sana bado nachaguo hope ntapata malaika.
Hili ni tatizo kubwa kwa intros ,tunachagua saaaana na kutafuta au kuona makosa zaidi kwa wengine sasa hii inaleta shida na kwa hulka za wanawake huwa wanatuona ni walalamishi na wa kulaumu kila kitu,sio wepesi kuridhika au kupongeza
 
Yaani mkuu, mimi kabisa, niko hivi 99%[emoji848][emoji848]
 
Dah! Kweli tunafanan aisee
 
Na wengi wao ni wanachama wa CHAPUTA hivyo wengi wao huishiwa nguvu za kiume na kupeleka kua stressed mwishoni hujinyonga Kwa kusalitiwa . Believe me
Usichokijua mkuu watu wa hivi ndio huwala sana wanawake kimya kimya na kwa jinsi tulivyo wanawake wengi wanatupenda wenyewe kutokana na jinsi tunavyoonekana wapole pia tuna ile kujali sana wala hatutumii nguvu kubwa kutongoza.
Mfano mimi nikimtaka mwanamke siwezi kumwambia direct nakupenda sijui nataka nini, hua naanzisha tu story za kiaina za namna hiyo na utani mwingi mwishowe wanajikuta washaliwa,

Mi ni kitombi hadi najiogopa, kuna saa najiangalia sana kwenye kioo afu najiuliza hivi ni mimi nafanya uchafu wote huu?

Na hizi simu zimekuja kuturahisishia sana maana kutongoza live hua shida sana.
 
Kuna introvert by nature na introvet kulingana na hali aliyozaliwa au aliyokutana nayo baada ya kuzaliwa

Mfano Magovi wote ni Introvet[emoji1787]

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…