Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Yan jamani asilimia 99 ya huo uzi ni mimi kabisa,.
Rafiki yangu mkubwa kabisa anaenipa kampani na anaenichangamsha, na ninaemalizia nae siku ni bia.
Maneno na watu staki,
Mtu anaongea kila saa naona kama ananipigia makelele.
Kitu ambacho siwezagi maishani ni kusema uwongo, nikishajua mtu fulani ni muongo muongo hata kama ni ukaribu nae huisha mapema kabisa.
Napenda sana kusema ukweli na sipendagi kumuuzi mtu kwa kweli.
Siku nikiwa nyumbani kama Sina shughuli huko nje stoki kabisa nje ni bia yangu na simu hadi jioni
 
Pole sana mkuu asee...
Shida yako ni hapo kwenye bia. Bia hutakiwi kuifanya kimbilio lako au kampani yako. Kunywa tu ili kujiburudisha ndugu
 
nilikuja kumuoa mwingine kabisa maana huyo wa kwanza alikuwa hajakidhi vigezo vyangu alikuwa mdangaji nilizidiwa tu nikaamua kupunguza kutu
Mdangaji vile bado ulikuwa hujui jinsi ya kuucheza mchezo
 
Hyo No.5 ndo MTIHANI SANA hapo...
Anayejua solution yake atuambie
 
Duuu mpaka leo nimemface bibie mmoja tu kwenye kutongoza rafki yake aliniambia siwezi kutongoza,
Upande wa mziki Mimi napenda kuskiliza zile za jazz band lesi wanyika yaani zilizopita mpaka watu wananiita kijana mzee, tunaonekana sisi tumepitwa sana na wakati,
Tunaishi kibusarabusara tu nikiwa na hela hujui hata nikifulia hunidhanii.
 
Hili ni tatizo kubwa kwa intros ,tunachagua saaaana na kutafuta au kuona makosa zaidi kwa wengine sasa hii inaleta shida na kwa hulka za wanawake huwa wanatuona ni walalamishi na wa kulaumu kila kitu,sio wepesi kuridhika au kupongeza
Hapa kiongozi mim pamekuwa pagumu nikianzisha mahusiano sipendi yeyote ajue mpaka nijiridhishe kwamba yuko vzr kitabia cha ajabu nikiona makosa kidogo tu simwambii ikumbukwe hapo bado nimefanya siri, kwahyo direct najua kabisa huyu hanifaia nakoenda nako ndo hivohivo hata sijui nitapata mwansmke wa type gani.
 
I wish to befriend you
 
Daaaah kama mimi yani woot
Daaa kama mimi yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…