Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Yan jamani asilimia 99 ya huo uzi ni mimi kabisa,.So I am Pyaar!
You're Introvert..
Sifa kuu yetu ni upendo na huruma. Ndio maana na Jesus hua anakuareferd as Introvert maana alikua/ana na huruma na upendo ulipitiliza kwa watu wake.
Upande wa kudhurumiwa nimedhurumiwa sana. Imagine nishawahi fyatua tofali 2000 kwenye kichuguu hafu sikupewa hata 100. Nilisamehe
Kingine ni kuonewa..unakua dustbin ya kila mtu. Watafanya makosa yao unatupiwa wewe just bcz huwezi jieleza vizuri.
Rafiki yangu mkubwa kabisa anaenipa kampani na anaenichangamsha, na ninaemalizia nae siku ni bia.
Maneno na watu staki,
Mtu anaongea kila saa naona kama ananipigia makelele.
Kitu ambacho siwezagi maishani ni kusema uwongo, nikishajua mtu fulani ni muongo muongo hata kama ni ukaribu nae huisha mapema kabisa.
Napenda sana kusema ukweli na sipendagi kumuuzi mtu kwa kweli.
Siku nikiwa nyumbani kama Sina shughuli huko nje stoki kabisa nje ni bia yangu na simu hadi jioni