Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Ni kweli kabisa introvert imejaa suicide thought, wewe hufanyaje kuweza kuAct extro. Kuna muda najifanya mbishi na mkali afu mtu ananiambia acha kujifanyishe sheee.. Yaani matendo na sura tofauti
Baada ya kupata mtoto mawazo yote yalikuwa Kwa mtoto, mtu akiniudhi namshika mwanangu najisemea siwezi kujidhuru nikuache peke yako
 
Baada ya kupata mtoto mawazo yote yalikuwa Kwa mtoto, mtu akiniudhi namshika mwanangu najisemea siwezi kujidhuru nikuache peke yako
Pole mkuu, umeona sasa everyone need to belong to someone. Mtu ambae unamjali na kumpenda. Maisha yanalet maana sana ukiwa na mtu huyo etii? Haijalishi ni nani kwako.
 
Dah nimesoma huu Uzi, hizi sifa karibu zote ninazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi watu wa tabia moja wakikaa pamoja wataelewana kweli?
Hata Sijawahi kuelewa ila nadhani tutaelewana tu. Utakua katibu wa kikao. Mada ni jinsi gani tukabiliane na jamii hii ya extrovert
 
Huu utafiti had leo naupongeza sana maana binafsi nilikuwa maarufu sana skul kuanzia primary, o-level had a-level ila bado ni mtu mwenye rafiki wachache yaan contacts zangu tu ziko kama 70 na
Nakaa ndani sana ,nasoma sana na sipendi mikusanyiko kama vile graduation, napenda sana kutumia simu naweza nkaitumia almost all the time nkiwa macho
Kwa upande wa haya dah ndo kabisa marafiki karibu wote nilionao wao ndo walitengeza urafiki
Nilijaribu kujichanganga ila naona nashindwa dah. Huwa nafikiria sana hata kitu kidogo tu mpaka marafiki wakawa wananiona ni mr complicator
 
una demu?
 
Dah, so sad I fall in this category. Hii haifai kwangu maana hata nashindwa kuomba msaada ninapokabiliwa na matatizo makubwa pengine nikafa najiona. Sijui niwaanzaje watu
 
Dah, so sad I fall in this category. Hii haifai kwangu maana hata nashindwa kuomba msaada ninapokabiliwa na matatizo makubwa pengine nikafa najiona. Sijui niwaanzaje watu
ni kweli ila jaribu kujichanganya hata na ndugu tu tatizo tunategemea watu wawe loyal sana kwetu kama tulivyo kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…