Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Hii mada kigugumizi mno,,,

Popote alipo Extrovert yeyote aje tuungane kwaajili ya biashara nasikia MNA kismati.
Hahahah alichosahau kuainisha ni kuwa Introverts wa kike wanadumu sana katika mahusiano esp. wakiwa coupled na Male Extroverts.

Extroverts are so entertaining patners na rahisi ku form peers. And i guess this is what makes them good leaders and business managers!
 
Yaani mnajua kuwadadavua ma introvert
 
Mie rafiki zangu wananiuliza we mwenzetu una demu kweli?

Hilo swali naulizwa sana wengine wananipa majina domo zege huezi kua na demu.

Mwengine aliwahi kunambia jamaa angu tatizo lako unatafakari sana hata sehem ya kukanyaga mguu unapotembea.

Sipendi sehemu ya watu wengi nikiona watu mara nyingine adi nawakimbia.

Nilipokua mdogo niliwahi kuugua sana hospitali madaktari waliponifanyia vipimo wakawambia wazazi mtoto anafikiri sana anahitaji kurelax nikapelekwa isolation kwa wiki tatu.

Nilizaliwa 10 september.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] una demu?
 
Basi kumbe hata mie ni introvelt,,nina marafiki hawazidi wawili mpaka sasa,,sina mazoea na wanadamu kwa sana,labda anizoee yeye kwanza..
Hadi wewe ni introvert kumbe ni wengi hivi lkn huku niliko mbona introverts tupo wachache sana haha
 
Back
Top Bottom