Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Sio kweli, mda mrefu riba ni kubwa makato madogo ila mda mfupi makato makubwa riba ndogo.

Unapochelewesha fedha unakwamisha mzunguko wa pesa Bank
Kwa mda mrefu kweli pesa inakuwa kubwa zaidi,kinacholazimu mtu a opt mda mrefu ni makato makubwa Kwa mda mfupi kitu kinachomwathri maisha ya Kila siku japo atalipa pesa kidogo kuliko mda mrefu
 
yaani unataka kuwahi kuchukua mzigo, let's say ukusanye gunia 150 Kwa wakati unazani utawaza kisoma mkataba
 
Kwa mda mrefu kweli pesa inakuwa kubwa zaidi,kinacholazimu mtu a opt mda mrefu ni makato makubwa Kwa mda mfupi kitu kinachomwathri maisha ya Kila siku japo atalipa pesa kidogo kuliko mda mrefu
Hey sorry, tukiachana na mada please Naomba tuyajenge PM ako kajina kako [emoji3059][emoji39][emoji39][emoji39]
 
kwani DP World Wenyewe wanasemaje?
 
Daaah aisee,jamani msaada wenu please nimekwama sana sana nipate Milioni 2. Mdogo wangu kagonga treni( lugha iliyozoeleka) ila amegongwa na treni kasagika mguu wa kulia,sasa matibabu ndo changamoto gharama zake.

Mpaka muda huu ameshakatwa mguu wa kulia na kuna operation nyingine inatakiwa.

Hapa nawaza kwenda Bank na hali ndo kama hii.

Nitarejesha taratibu tu,mimi ni mwaminifu sana.

Mungu atakubariki wewe utakayeniamini na kunisaidia katika hili la kuokoa uhai.
 
Mnataka mkopo rahisi kaombeni hela kwa wazazi wenu. Mnadanganyana usikope je unabima ya kazi yako, au ndio ukifa asubuhi taarifa zishatumwa hazina unatolewa kwenye payroll. Kopa fanya maendeleo hio ndio nguzo kwa familia yako.
 
Na ukienda kuchukua mkopo wanakufanyia process haraka haraka sana ili usibadili maamuzi

Na hata hawakupi muda wa kusoma mkataba sembuse kukufafanulia. Wanakupa tu usaini haraka haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…