Euroleague
JF-Expert Member
- Apr 11, 2020
- 515
- 1,410
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.
Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.
5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kw
Ya wapi hii mkuu! Kama ni iyo ya akina manara nimekuelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora bayport [emoji41][emoji41]
watanzania kitu mnaweza fanya Kwa ufanisi ni kulalamika....!!!Hiyo Processing fee wangeiondoa,hizi riba ziwatoshe.
Wanapata faida kubwa kwa kuwanyonya maskini.
Kweli hawakati riba?5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
Jamaa ni kweli kabisa...maana hata watumishi wamethibitisha via comments..
Your name speaks it allBOT ni wazembe sana!!
Kwani utachukua mkopo bila kusoma mkataba
Basi hulazimishwi maana ulishasaini mkataba, unaijuwa principle ya cavity emptierMmm jamaa uwa tunaona lkn haina jinsi kwa kua una shida na utalalamika wap ili upunguziwe? Gharama za Mokpo ni kubwa sana
Basi hulazimishwi maana ulishasaini mkataba, unaijuwa principle ya cavity emptier
Basi hulazimishwi maana ulishasaini mkataba, unaijuwa principle ya cavity emptier
Basi hulazimishwi maana ulishasaini mkataba, unaijuwa principle ya cavity emptier
Haya mambo ya mamikopo bhana wanaweza wafanyabiashara tu tena zaidi wawekezaji ila nyie hamjui ndio maana mnajipeleka na shida zenu ambazo hata ukisave mshahara wako unaweza ukaanza kabiashara kako ambako katatatua shida ndogo ndogo. Mikopo Kwa raia masikini haina Tija kwahiyo sio lazima sanaView attachment 2676736
View attachment 2676737
Kibaya unapewa sound kua unakatwa kwa reducing balance af brother Mpwayungu Village sisi tuna lalamikia utaratibu mzee sio inshu ya utak Acha mbona kama mwalimu uliechangamka we jamaaa [emoji28]
Usiwastue tuzidi kujineemesha kupitia Walimu wa huko HalmashauriHabari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.
Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.
5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
kweli aisee serikali ilete mpango watumishi wakope mikopo mikubwa hazina maisha yao yataboreshwaSerikali wasaidieni watumishi kukopa hazina wataboresha huduma.