Jinsi maombi yanavyoshusha Imani yako kwa Mungu

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, kungekuwa hakuna haja ya kuomba wala kushukuru.

Hizi habari za kuomba na kushukuru kuwepo zinaonesha Mungu huyo hayupo.

Na habari za kuwepo kwake zimetungwa na watu tu.
Asante Kwa maoni yako kuhusu Mungu.
 
Bas mfatilie mkuu simpigii promo ila kabla ya ibada utasiki akusema kbsa paza SAUTI ya shurkrani nimemuelewa sana
 
Tough time never last tough people do.
Nyakati ngumu haziwezi fika mwisho lakini wenye imani kuu upenya
 
Abraham kuitwa baba wa imani hakuna uhusiano wowote na yeye kuamini atarudi na Issack

Abraham anaitwa Baba wa imani kwasbabu yeye ni joint kwenye dini kuu mbili

Mungu angejua kuwa Abraham ameshtukia plan ya Mungu na kwamba kivyovyote vile lazima Issack awe salama, unadhani point ya Mungu kumpima imani Abraham ingekuwa na mashiko gani?

Ni sawa na wewe uweke spy app kwenye simu ya mkeo kwa kificho, halafu mkeo akastukia kuwa kuna spy app umemuwekea

Akawa anapita njia ambazo hanaswi na mtego wako, je hiyo itakuwa ni kipimo kuonesha mkeo haku cheat?
 
Asante Kwa hoja.
Ila kumbuka tu, Mungu Ndiye aliyemchanganya. Kamwambia mtoto atakayezaliwa na mkeweSara first born Ndiye atakaye rithi.

Hapohapo anamuambia amuue huyohuyo mrithi. Alafu Mungu sio muongo.

Ndio maana aliaminihata kama akifa, Bado Ile kauli ya Kwanza otatekelezeka kupitia huyohuyo aliyeuwawa.
Ndio maana nikakupa mstari aliamini Mungu angemfufua. Sio maoni yangu ni andiko.


Ila naheshimu utofauti wetu wa maoni katika hili.
 
Kumbuka lengo la Mungu lilikuwa ni kuipima imani ya Abraham

Na ili lengo lifanikiwe kikamilifu maana yake Abraham hatakiwi kujua ukweli kuwa ni setup, ili kama alikuwa ana pretend kuwa na imani thabiti mbele za Mungu aumbuke kwasbabu atakataa kumchinja mwanaye na mwisho wa siku akose kuaminiwa na Mungu

Sasa Abraham kaishajua kuwa hili ni jaribio kuwa haitotokea zoezi la kumchinja wanae likafanikiwa unafikiri tunaweza kumsifu Abraham kuwa ni mcha Mungu ambaye ana imani na Mungu?
 
Hakujua kama halitatokea. Mungu aliingilia kati akiwa kwenye mchakato wa kumchinja.

Andiko linasema, aliamini Bado ahadi ingetimia kupitia huyohuyo Isaka. Maana yake hata kama angekufa Bado Mungu angejua namna ya kumrudisha. Ndio msingi wa Ile Imani Kali.

Mungu alikuwa anataka kumpima tu ibrahim Yuko tayari kutoa vyote Kwa ajili yake. Na alithibitisha Hilo ndio maana zoezi likasitishwa.

Sio kwamba alijua hafi.
 
Me naona kama sala ya Bwana ipo kama muhtasari. Kukemea pepo kunaonekana ndani ya maneno haya
"...utuokoe na yule mwovu kwakuwa ufalme ni wako na nguvu ....."
Neno "utuokoe" ni ombi la kusihi hivyo shetani hawezi kuondoka kwa kumsihi bali huondoka kwa Kupingwa (kukemewa) vikali.

Sasa kwenye sala ya Bwana hakuna kemeo lolote
 
Katoto kadogo hakajui kushukuru au kuomba, sisi watu wazima ni kama Mungu wa haka katoto. Ni juu yetu kukalisha na kukalinda. Na sisi binadamu mbele ya Mungu ni sawa na haka katoto, tena akili yetu ni finyu zaidi ya haka katoto mbele ya Mungu.
 
amina, filemon 1:6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…