mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
- Thread starter
- #61
ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa elimu, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu.Katoto kadogo hakajui kushukuru au kuomba, sisi watu wazima ni kama Mungu wa haka katoto. Ni juu yetu kukalisha na kukalinda. Na sisi binadamu mbele ya Mungu ni sawa na haka katoto, tena akili yetu ni finyu zaidi ya haka katoto mbele ya Mungu.
waefeso 4:14
utoto ni stage katika ukristo sio ukomo. Asante lakini kwa mchango mzuri.