Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Ndugu wewe ni muha ?
Inawezekena Halafu Naona jamaa hajui kusoma akaelewa. Pia inaelekea hajui chochote humu duniani. Mtu mwelewa huwa akisikia kitu hakurupuki kupinga hupima na kupata majibu. Mpotezeeni maana Ni Kama nzi was chooni wanaovamia meza ya chakula ili tuu kuondoa burudani ya msosi
 
Hesabu 900 Huna lolote Kuzaliwa dar pia Siyo Sifa ya ziada kwani Dar maahira hawazaliwi?? Kama unaona uzi haukuhusu acha kafanye mambo Mengine hata kwenda chooni pia unaweza
 
Washazoea hawa kuabudu viongozi wa ccm kwa nafasi wanazopewa na wananchi wakati wananchi ndio maboss wa wanasiasa duniani.
 
South akuna miaka 30! Mwanafunzi anazaa,anaomba matunzo social walfare...anaacha mtoto na mama ake anarudi Shule!! Ijumaa,jumamos anajiuza kama malaya akuna shida!! Acha tu niliwai kaa huko for 4 yrs. Kule wanawake ni bidhaa kama vile vocha n.k
asa utamu wooote huo unakuja kuwaka jua la bongo? Afadhali piga kimya!!! Na hii covid hutakaa urudi huko tena. Walioko huko wamefika sasa tuwasahau ni watapewa uraia mpaka basi na bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…