Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Kupitia huu uzi ndio naamin sasa sisi wabongo Ni watu wa aina gani,mwamba kasema achangiwe buku tu Ila watu wamesepa jumla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kusisitiza kumforce mwamba alete story kimya.

Ndio maana naamin kuwa watz wengi tunaish maisha ya dhiki Sana na ya kubahatisha ,kama buku moja tu watu zaid ya laki tatu wametokomea jumla .daaah watu wanajimwambafai hapa kumbe hata kula yao Ni shida tupu.

Mpaka muda mwamba alitakiwa ashaweka takon kama 200k ivi angalau kungekuwa na unafuu.

Jaman rudin kwenye uzi kwa speed kama mlivyokuwa mnampresharize mwamba alete uzi fasta
 
Kujishushia credibility kwa vipi mkuu? Hivi unadhani kuandika stori ndefu kama hii inayoburudisha na kugusa hisia za wengi ni kitu rahisi? Naamini watu wengi sana wana stori nyingi ambazo wangeweza ku-share hapa jukwaani, ila kuandika stori humu jf mpaka watu wakaielewa na kuipenda sio kitu rahisi kama unavyoweza kufkiria. Ni kipaji kama vipaji vingine. Kuna ugumu gani wa kusupport na kuunga mkono jitihada za Konda? Hata kama umeshindwa unakausha tu, sababu sio lazima. Watakaoguswa watamuunga mkono. Ubinafsi sio mzuri
 
Ni bk tu unatokwa povu hivi!!
 
Haujalazimishwa kuchanga mkuu
 
Khumbu uliefufuka![emoji847][emoji847][emoji847]
Mambo vipi...

Naona wote maskini ,mtoa mada na wachangia mada.

Ndo mana nilimpiga chini konda msafi sababu ni fukara wa kutupwa, mpenda mteremko na ana mawazo ya kimaskini.

Sasa story hata haijafika kati kashaanza omba omba hela za bando.

Ooh mara itatokea jina la kampuni.

Kama bando si watu wamemchangia hao watatu....ana japo 5000.

Kwa nn asinunue bando la mwezi......

Umaskini huu utamuuaaa
 
Povu lisiwe jingi boss Kubwa, we tajiri okoa jahazi 🤒
 
NAONA MODERATORS WAANGILIE KATI SASA
PALE MTU ANAPOLETA UZI YEYE MWENYEWE
ALAFU ANAANZA PIGO ZA KUCHANGISHANA SIJUI HELA YA BANDO...
JF SIO SEHEMU YA KUENDESHA MICHANGO...
KESHO NA KESHO ATAKUJA MWINGINE HIO NDO ITAKUA NDO DESTURI HATA KWA STORY ZA UONGO NA KWELI
@jf moderator
 
Hivi kwani mlilazimishwa? We tulia zako kimya subiri a post usome upite vile. Sasa hapa mnataka kufanya mambo yawe mengi
 
Kaeni kwa kutulia enyi kizazi cha nyoka.

Kama mmeelewa personality ya konda mwenzangu ni mtu mmoja mstaarabu sana asiye na makuu na anayejali hisia za watu sana.

Nyie mnaopiga kelele ni vijitu vyenye tuakili nusu glass ya gongo. Tulieni mambo mazuri yanakuja.

Naamini konda mwenzangu hata asipochangiwa na yeyote still ataiendeleza stori yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…