mwaitakotako mwaipumbuje
Member
- Mar 10, 2020
- 25
- 155
ukichangia identity yako inafahamika sawa ila atajuaje hii ya slim hii ya zipompa.Issue sio kushindwa kutoa buku, issue ni ku expose identities zetu
neno dogo kwako huna hela na wapenda kitonga wala usiseme yote hayoAngesema hivyo toka awali kwamba mazee nina story, naileta humu ila mtachangia. Alichofanya yeye akaleta story kama story zingine, watu wakafurahia wakamsifia akalewa sifa akaanza sasa kudelay mara kachoka, mara yuko busy mara ikaletwa namba atumiwe hela ili ubize na uchovu uishe, watu wakaona miyeyusho kumbe wakapotezea na sasa haina mwamko tena wala watu hawana muda mchafu baada ya kusoma mchezo. Epuka sana wale watu wanaokuja inbox kukujaza ujinga aisee, wamo humu anakujaza ujinga unajiona tajiri balaa, oooh mm kwa sasa niko USA nadeal na uwandishi wa vitabu pia niko attached na oxford kwa mana hiy9 ile story yako ukikubal tuiweke katika vitabu utauza copy nyingi sana hapo Tanzania, east africa na ebay. Wakishakuvuruga hivyo unaviiimba kumbe wapuuzi tu.
Sasa walimvimbisha huyu jamaa kichwa atakoma kuwafahamu
Kabisa aweke [emoji648] hapa, tutume vocha.Weka namba
Namba kashatoa huko juu nenda katume vocha acha ubahiliKabisa aweke [emoji648] hapa, tutume vocha.
Jomoneeeeh wee si ndo sponsor? Hebu nipe bas nkatume vocha.Namba kashatoa huko juu nenda katume vocha acha ubahili
Wasikutishe fanya chochote kama ulivyopanga stori tunaifatilia barabaraNatamani nikujibu jibu unalostahili ila siku zote huwa najitahidi kuwa mstaarabu ninapokutana na watu wenye calibre kama yako.
Sawa boss ww una hela, tuma hapa payslip statement uliyomuingizia 20milion kwenye account yake ili tu aandike thread.neno dogo kwako huna hela na wapenda kitonga wala usiseme yote hayo
wapi nimesema nna hela mkuu hahahaha buku imetushinda tutaweza 20m hahahahahaSawa boss ww una hela, tuma hapa payslip statement uliyomuingizia 20milion kwenye account yake ili tu aandike thread.
Au unaropoka tu kusema watu hawana hela ilihal ww huna ulichofanya kuonesha una hela,
Na wenye hela na akili tumamu hela zao hutolewa kwa sababu maalum hawatupi tupi hela ovyo,
Wasalaam
Achana naye mkuu. Watu wasiokuwa na hela wana maneno mengi. Huyo Kitaboy hana hela, ndio hawa wanajifanya matajiri wa JF kumbe kina pangu pakavu.wapi nimesema nna hela mkuu hahahaha buku imetushinda tutaweza 20m hahahahaha
hapo paragrafu ya mwisho ni kujipa moyo tu ila ukweli unabaki hatuna hela wala akili
kila siku watu wenye fedha wanazitoa kutusaidia kina pangu pakavu leo unasema eti wenye akili nini sijui
tutafute helaaaaa sio maneno mkuu
Hapana mkuu. Huyo sio Khumbu.Mleta uzi kumradhi kwa sofa za Khumbu imebidi tu nimtafute nimuone. Tell me this is not her. Moja ya picha yuko na kale ka gari kale kekundu ulikotuambia. [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1707702
View attachment 1707703
View attachment 1707705
View attachment 1707706
We elezea kifo chake tu kwa ufupi tu hayo mengine hatuyataki umeshazingua kinyama ,credibility yako imeshuka ghaflaNadhani yamebaki matukio manne tu kulingana na ule muainisho niliouweka siku zile za mwanzo mwanzo. 1. Khumbu kula nauli. 2. Kutishiwa kupigwa risasi. 3. Siku ya kuagana naye/siku ya kurudi Bongo. 4. Kifo chake. So, nitajitahidi yote hayo niyamalize Jumatano. Kama kuna tukio nimelisahau kwenye ule muainisho mnikumbushe.
Hii shape haiendani na tako mchuchumio, tako mning'inio kutokana na maelezo ya konda msafiMleta uzi kumradhi kwa sofa za Khumbu imebidi tu nimtafute nimuone. Tell me this is not her. Moja ya picha yuko na kale ka gari kale kekundu ulikotuambia. [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1707702
View attachment 1707703
View attachment 1707705
View attachment 1707706
kwamba wewe ndo mwamuzi wa kupanda na kushuka kwa credibilityWe elezea kifo chake tu kwa ufupi tu hayo mengine hatuyataki umeshazingua kinyama ,credibility yako imeshuka ghafla
Halafu mzee wa ubwabwa mbona unajipa cheo cha msemaji wa familia ya wana JF? Nadhani wewe credibility yako ndio imeshuka kwa kushindwa kuchangia buku tu. Sasa kama buku limekushinda hiyo hela ya ubwabwa ya kulisha watoto wetu mashuleni si ilikuwa fix tu? Hahahahaha.We elezea kifo chake tu kwa ufupi tu hayo mengine hatuyataki umeshazingua kinyama ,credibility yako imeshuka ghafla