Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Huu uzi umeshakua wakijinga sasa.....ile ladha yote imepotea.....Hii thread imecement na kuconfirm kua jambo hata liwe zuri vipi...kama halina utaratibu na defined process flow linageuka kua lakijinga. Hata demu....hata demu awe mzuri vipi na tako kubwa kiasi gani...kama hana akili na utaratibu unaoeleweka wa maisha anakua hana maana na atasuuzwa tu na wakulungwa lakini haolewi hata siku moja.

Binafsi yangu,bila kushurutishwa na mtu yeyote ......mwisho wangu kufungua hii thread ni leo 20.02.2021 saa 6 kamili mchana. It has become useless and boring.
 
Angesema hivyo toka awali kwamba mazee nina story, naileta humu ila mtachangia. Alichofanya yeye akaleta story kama story zingine, watu wakafurahia wakamsifia akalewa sifa akaanza sasa kudelay mara kachoka, mara yuko busy mara ikaletwa namba atumiwe hela ili ubize na uchovu uishe, watu wakaona miyeyusho kumbe wakapotezea na sasa haina mwamko tena wala watu hawana muda mchafu baada ya kusoma mchezo. Epuka sana wale watu wanaokuja inbox kukujaza ujinga aisee, wamo humu anakujaza ujinga unajiona tajiri balaa, oooh mm kwa sasa niko USA nadeal na uwandishi wa vitabu pia niko attached na oxford kwa mana hiy9 ile story yako ukikubal tuiweke katika vitabu utauza copy nyingi sana hapo Tanzania, east africa na ebay. Wakishakuvuruga hivyo unaviiimba kumbe wapuuzi tu.

Sasa walimvimbisha huyu jamaa kichwa atakoma kuwafahamu
neno dogo kwako huna hela na wapenda kitonga wala usiseme yote hayo
 
Khumbu aligawa maku balaa angakua Mtz lazma angekua mtt wa singidani
 
neno dogo kwako huna hela na wapenda kitonga wala usiseme yote hayo
Sawa boss ww una hela, tuma hapa payslip statement uliyomuingizia 20milion kwenye account yake ili tu aandike thread.

Au unaropoka tu kusema watu hawana hela ilihal ww huna ulichofanya kuonesha una hela,

Na wenye hela na akili tumamu hela zao hutolewa kwa sababu maalum hawatupi tupi hela ovyo,
Wasalaam
 
wapi nimesema nna hela mkuu hahahaha buku imetushinda tutaweza 20m hahahahaha

hapo paragrafu ya mwisho ni kujipa moyo tu ila ukweli unabaki hatuna hela wala akili

kila siku watu wenye fedha wanazitoa kutusaidia kina pangu pakavu leo unasema eti wenye akili nini sijui

tutafute helaaaaa sio maneno mkuu
 
Achana naye mkuu. Watu wasiokuwa na hela wana maneno mengi. Huyo Kitaboy hana hela, ndio hawa wanajifanya matajiri wa JF kumbe kina pangu pakavu.
 
Ndo nimetoka fesibuku kutafuta mademu wanaoitwa Khumbu Mkhize
ila kabla sijasahau mkuu tupe I'd ya yule demu mwngine ulie tuahidi tukamtafute fesibuku
 
Mleta uzi kumradhi kwa sofa za Khumbu imebidi tu nimtafute nimuone. Tell me this is not her. Moja ya picha yuko na kale ka gari kale kekundu ulikotuambia. [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_0270.jpg

IMG_0265.jpg

IMG_0268.jpg

IMG_0269.jpg
 
Nadhani yamebaki matukio manne tu kulingana na ule muainisho niliouweka siku zile za mwanzo mwanzo. 1. Khumbu kula nauli. 2. Kutishiwa kupigwa risasi. 3. Siku ya kuagana naye/siku ya kurudi Bongo. 4. Kifo chake. So, nitajitahidi yote hayo niyamalize Jumatano. Kama kuna tukio nimelisahau kwenye ule muainisho mnikumbushe.
We elezea kifo chake tu kwa ufupi tu hayo mengine hatuyataki umeshazingua kinyama ,credibility yako imeshuka ghafla
 
We elezea kifo chake tu kwa ufupi tu hayo mengine hatuyataki umeshazingua kinyama ,credibility yako imeshuka ghafla
Halafu mzee wa ubwabwa mbona unajipa cheo cha msemaji wa familia ya wana JF? Nadhani wewe credibility yako ndio imeshuka kwa kushindwa kuchangia buku tu. Sasa kama buku limekushinda hiyo hela ya ubwabwa ya kulisha watoto wetu mashuleni si ilikuwa fix tu? Hahahahaha.
 
Back
Top Bottom