Huyu mdukuzi ni real Hashimu Spunda Rungwe?Halafu mzee wa ubwabwa mbona unajipa cheo cha msemaji wa familia ya wana JF? Nadhani wewe credibility yako ndio imeshuka kwa kushindwa kuchangia buku tu. Sasa kama buku limekushinda hiyo hela ya ubwabwa ya kulisha watoto wetu mashuleni si ilikuwa fix tu? Hahahahaha.
Huyu hawezi kuwa Spunda, namcharua tu. Spunda hawezi kukosa buku.Huyu mdukuzi ni real Hashimu Spunda Rungwe?
Konda msafi we endeleza stori huwezi kupata michango humu maana we watu wanajua mtoto wa kishua,kwa bata ulizokula kwa madiba si mchezo,humu watu choka mbaya tunachangia choka mbaya wenzetuHuyu mdukuzi ni real Hashimu Spunda Rungwe?
Ha ha ha ha haJf kila mtu ana gari ila baada ya mtoa Uzi kutaka achangiwe hata buku ya bundo, Wote wamekimbia na magari yao...
Acha uongo wewe. Mbona nimeliangalia jina kwenye tigopesa linakuja lile lile alilolitaja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah wabongo ukiwambia pesa tu huwaon sijui kwann tunapenda Sana vitonga
Nashauri usiendelee na stori, Mimi nimetuma lakini kwakweli nashangaa watu humu ujitolee muda wako mwingi na bundle zako , basi hata kuchangia tu ni shida..watu zaidi ya laki 3 wanausoma huu Uzi, wanaochangia ni watatu sjui , ni upuuzi wa hali ya juu..mtu anakupampu maneno uendee kuandika stori lakini mwambie akuchangie basi hawezi anakimbia, nadhani sio fair na kwakweli sioni haja ya wewe kuendelea.
watu walikua wanasisitiza wapo tayari kutoa chochote na wahamie telegram,sasa mkubwa kaweka namba watu wachangie watu wana view kimya kimya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nchi hii ina wanafiki sana[emoji23][emoji23]JAMANI TUMCHANGIE konda
NAONA MODERATORS WAANGILIE KATI SASA
PALE MTU ANAPOLETA UZI YEYE MWENYEWE
ALAFU ANAANZA PIGO ZA KUCHANGISHANA SIJUI HELA YA BANDO...
JF SIO SEHEMU YA KUENDESHA MICHANGO...
KESHO NA KESHO ATAKUJA MWINGINE HIO NDO ITAKUA NDO DESTURI HATA KWA STORY ZA UONGO NA KWELI
@jf moderator
wanakwambia tuko nyuma yako,ukigeuka uko peke yakoMno mno watanzania sio watu wa kuwaamini[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante SIERA mchango wako umefika.
Shukrani mkuu.konda msafi nimependa sana story yako kweli imekaa vizuri sana na pia ina mafundisho mengi sana ndani yake! Kuanzia maisha ya kuhangaika nje ya nchi kwa vijana, mahusiano, mapenzi ya dhati, uvumilivu, Elimu, jinsi ya kuishi na watu aina tofauti tofaut, uandishi na mpangilio wa matukio, jinsi unavyojibu mapovu ya watu wakorofi kwa kutumia hekima na mwisho usivyokata tamaa kirahisi.
Utafika mbali sana kimaisha na mafanikio, binafsi sijachanga buku Wala jero ila namba nimeiona na nachangia mda si mrefu. Big up sana broh.
Mkuu mzigo utadrop tena lini?Shukrani mkuu.