Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Halafu mzee wa ubwabwa mbona unajipa cheo cha msemaji wa familia ya wana JF? Nadhani wewe credibility yako ndio imeshuka kwa kushindwa kuchangia buku tu. Sasa kama buku limekushinda hiyo hela ya ubwabwa ya kulisha watoto wetu mashuleni si ilikuwa fix tu? Hahahahaha.
Huyu mdukuzi ni real Hashimu Spunda Rungwe?
 
kabla ya kumaliza story siku ya j5 nikupe kongole/hongera kwa kujua kuielezea story... unachambua mpaka watu wanamtafuta Khumbu kwa facebook!😆😆
big up konda msafi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah wabongo ukiwambia pesa tu huwaon sijui kwann tunapenda Sana vitonga

Yaani inasikitisha mtu anatumia muda wake kuwapa story mnafurahi kumchangia tu hata mia 500 apate moyo wa kuendelea kuandika mnaona kazi duuh[emoji23][emoji23]
 
Nashauri usiendelee na stori, Mimi nimetuma lakini kwakweli nashangaa watu humu ujitolee muda wako mwingi na bundle zako , basi hata kuchangia tu ni shida..watu zaidi ya laki 3 wanausoma huu Uzi, wanaochangia ni watatu sjui , ni upuuzi wa hali ya juu..mtu anakupampu maneno uendee kuandika stori lakini mwambie akuchangie basi hawezi anakimbia, nadhani sio fair na kwakweli sioni haja ya wewe kuendelea.

Umeongea ukweli kabisa..
929d0069-0dac-4241-a0a7-0dd28335eba2.jpg

Yangu hiyo nishatuma
 
watu walikua wanasisitiza wapo tayari kutoa chochote na wahamie telegram,sasa mkubwa kaweka namba watu wachangie watu wana view kimya kimya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nchi hii ina wanafiki sana[emoji23][emoji23]JAMANI TUMCHANGIE konda

Mno mno watanzania sio watu wa kuwaamini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
konda msafi nimependa sana story yako kweli imekaa vizuri sana na pia ina mafundisho mengi sana ndani yake! Kuanzia maisha ya kuhangaika nje ya nchi kwa vijana, mahusiano, mapenzi ya dhati, uvumilivu, Elimu, jinsi ya kuishi na watu aina tofauti tofaut, uandishi na mpangilio wa matukio, jinsi unavyojibu mapovu ya watu wakorofi kwa kutumia hekima na mwisho usivyokata tamaa kirahisi.

Utafika mbali sana kimaisha na mafanikio, binafsi sijachanga buku Wala jero ila namba nimeiona na nachangia mda si mrefu. Big up sana broh.
 
Kuna kitabu kizuri kabisa hapa. Please compile hizi, ziboreshe kidogo (e.g. tumia tafsida baadhi ya simukizi ili kisiwe na ukakasi kwa baadhi wasomaji). Naona kipaji ndani yako cha kusimulia.

Usiache kuandika kitabu(actually umeshaandika, kiboreshe tu).
 
konda msafi nimependa sana story yako kweli imekaa vizuri sana na pia ina mafundisho mengi sana ndani yake! Kuanzia maisha ya kuhangaika nje ya nchi kwa vijana, mahusiano, mapenzi ya dhati, uvumilivu, Elimu, jinsi ya kuishi na watu aina tofauti tofaut, uandishi na mpangilio wa matukio, jinsi unavyojibu mapovu ya watu wakorofi kwa kutumia hekima na mwisho usivyokata tamaa kirahisi.

Utafika mbali sana kimaisha na mafanikio, binafsi sijachanga buku Wala jero ila namba nimeiona na nachangia mda si mrefu. Big up sana broh.
Shukrani mkuu.
 
Back
Top Bottom