Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Konda msafi utiniwenaaa? Shapu shaap neee?. Umenikumbusha demu wangu wa kizulu kutoka soweto bhana. sasa hivi hapatikani facebook sijui kaenda wapi jamini , mara ya mwisho kuonekana fb ni mwaka 2014. sijui vurugu vurugu na maradhi ya souzi zimemchukua hata sielewi mie.
 
Achana nao wapuuzi hao
 
Konda we wavumilie2 mana siunajua kazi ya ukonda inakua na changamoto kunawatu wanapanda wamefiwa wengine walevi wengine wezi wabishi washamba wajinga matakhira kwahiyo jukumu lako kama konda ni kudai nauli yako2 hayo mengine yaache mana mwisho wa safari wote watashuka na kupakia wengine wapya
 
Achana nao wana tatizo la kupumua we j5 shusha mzigo mzee baba konda msafi
 

Unajuaje hana time nazo lol
 
Kaamuulize Habibu B. Anga tabia za watanganyika wa humu, A.K.A @thebold ndiye pekee anawaweza kudeal nao maana amepata uzoefu wa kutosha kudeal nao.
 
Its Wednesday [emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
 
Watu mmepania mwacheni mwamba kama ataleta sawaa asipoleta pia sawa.
Hela mlituma kwa ridhaa yenu hivyo kuweni wapole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…