Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Konda msafi utiniwenaaa? Shapu shaap neee?. Umenikumbusha demu wangu wa kizulu kutoka soweto bhana. sasa hivi hapatikani facebook sijui kaenda wapi jamini , mara ya mwisho kuonekana fb ni mwaka 2014. sijui vurugu vurugu na maradhi ya souzi zimemchukua hata sielewi mie.
 
Kesho kutwa mzee namaliza kazi, ila kuna watu wana mambo ya kibwege kweli. Hata kama unajitahidi kuwavumilia lakini inafikia stage unaamua kuwajibu tu maana wanakuchukulia poa sana. Stori nimeilata mwenyewe kwa hiari yangu, that means nina uwezo wa kuachana nayo kwa hiari yangu pia. Sasa humu kuna watu wanaongea upuuzi mwingi mpaka nimeamua kuwajibu. Sikutaka kujibishana nao ila nimeona wanataka kunipanda kichwani.
Achana nao wapuuzi hao
 
Konda we wavumilie2 mana siunajua kazi ya ukonda inakua na changamoto kunawatu wanapanda wamefiwa wengine walevi wengine wezi wabishi washamba wajinga matakhira kwahiyo jukumu lako kama konda ni kudai nauli yako2 hayo mengine yaache mana mwisho wa safari wote watashuka na kupakia wengine wapya
 
Kesho kutwa mzee namaliza kazi, ila kuna watu wana mambo ya kibwege kweli. Hata kama unajitahidi kuwavumilia lakini inafikia stage unaamua kuwajibu tu maana wanakuchukulia poa sana. Stori nimeilata mwenyewe kwa hiari yangu, that means nina uwezo wa kuachana nayo kwa hiari yangu pia. Sasa humu kuna watu wanaongea upuuzi mwingi mpaka nimeamua kuwajibu. Sikutaka kujibishana nao ila nimeona wanataka kunipanda kichwani.
Achana nao wana tatizo la kupumua we j5 shusha mzigo mzee baba konda msafi
 
Mmeshawekewa story ya uzinzi, mnayoojifanya mnajiheshimu kumbe ni uzinzi mnang'ang'ania, huwa mkiambiwa ukweli mnakimbilia hbr za kuzaliwa miezi 9 tumboni, hapa forum sibishani na mamaa yangu naongeaa na nyie mnaogombania story za ngono mnatakaa niwaheshimu, aliyenizaa hana muda na upumbavu kama huu wenu, konda amerudi, kuwaendelezea porn story...mmefurahiiiiii????

Unajuaje hana time nazo lol
 
Kesho kutwa mzee namaliza kazi, ila kuna watu wana mambo ya kibwege kweli. Hata kama unajitahidi kuwavumilia lakini inafikia stage unaamua kuwajibu tu maana wanakuchukulia poa sana. Stori nimeilata mwenyewe kwa hiari yangu, that means nina uwezo wa kuachana nayo kwa hiari yangu pia. Sasa humu kuna watu wanaongea upuuzi mwingi mpaka nimeamua kuwajibu. Sikutaka kujibishana nao ila nimeona wanataka kunipanda kichwani.
Kaamuulize Habibu B. Anga tabia za watanganyika wa humu, A.K.A @thebold ndiye pekee anawaweza kudeal nao maana amepata uzoefu wa kutosha kudeal nao.
 
Its Wednesday [emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
 
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Screenshot_20210220-082547.jpg
 
Watu mmepania mwacheni mwamba kama ataleta sawaa asipoleta pia sawa.
Hela mlituma kwa ridhaa yenu hivyo kuweni wapole.
 
Back
Top Bottom