Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Mkuu Akamba ndiyo ilikuwa basi langu from Mwanza to Nairobi, hawa jamaa walikuwa na mabasi mengi sana, ilikuwa tukifika Kericho tunapark kidgo hapo kuna kuwa basi nyingi sana na zote ni Akamba, hawa jaamaa nahisi walifilisika kabisa au walibadili jina.
 
Hivi hawa Akamba bado wapo? Maana ni muda mrefu sana tokea hilo tukio la kukutana na Amina litokee. Yeah! Ilikuwa safari ya Kampala to Mwanza na sio Kampala to Dar. Haya mabasi yalikuwa yanaishia Mwanza hivyo baada ya kufika Mwanza ilibidi nitafute usafiri wa kuja Dar. Yalikuwa ni mabasi mazuri sana.
 
Ishu za kumuona demu unasema sijui ntafata baadae mara nyingi wanapoteaga kama majini.

Mimi huwa na kaformula ambako sjawah fanikiwa,unakuta namuona demu naamua kumfatilia kwa kupita njia nyingne ili nkutane nae mbele,cha ajabu nikitokeza huko mbele sjawah fanikiwa waona
 
Acha uoga ukimuona mtoto mzuri imbisha.

Watoto wazuri huonekana mara moja tu.
 
Ngoja Nianze Kusoma sasa
 
Ngoja niendelee sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…