Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Kuna dictionary nilinunua Kampala, hiyo ticket ya Akamba niliichomeka humo. Ni oxford Advanced Learner's 7th Edition. Uganda ilikuwa inauzwa kwa bei ndogo sana ukilinganisha na bei ya Tanzania. You can't believe hiyo ticket mpaka leo ninayo. Nilikuwa naiona ona kila ninapoitumia hii dictionary, sasa leo wakati naandika kipengele cha Amina nikakumbuka, nikajisemea acha niiangalie hii ticket kama bado ipo niiambatanishe kwenye huu uzi. Kama kumbukumbu zangu zipo vizuri nilikutana na Amina tarehe 17 March 2006. Just imagine. Hiyo hapo ticket nimewawekea
Mkuu Akamba ndiyo ilikuwa basi langu from Mwanza to Nairobi, hawa jamaa walikuwa na mabasi mengi sana, ilikuwa tukifika Kericho tunapark kidgo hapo kuna kuwa basi nyingi sana na zote ni Akamba, hawa jaamaa nahisi walifilisika kabisa au walibadili jina.
 
Hivi hawa Akamba bado wapo? Maana ni muda mrefu sana tokea hilo tukio la kukutana na Amina litokee. Yeah! Ilikuwa safari ya Kampala to Mwanza na sio Kampala to Dar. Haya mabasi yalikuwa yanaishia Mwanza hivyo baada ya kufika Mwanza ilibidi nitafute usafiri wa kuja Dar. Yalikuwa ni mabasi mazuri sana.
 
Ishu za kumuona demu unasema sijui ntafata baadae mara nyingi wanapoteaga kama majini.

Mimi huwa na kaformula ambako sjawah fanikiwa,unakuta namuona demu naamua kumfatilia kwa kupita njia nyingne ili nkutane nae mbele,cha ajabu nikitokeza huko mbele sjawah fanikiwa waona
 
Acha uoga ukimuona mtoto mzuri imbisha.

Watoto wazuri huonekana mara moja tu.
 
Inaendelea

Tulipoingia ndani tukaenda moja kwa moja kukaa kitandani maana kulikuwa hakuna kiti wala kochi isipokuwa desktop computer ambayo alikuwa anaitumia kama redio kusikiliza mziki. Si unajua watoto wa kike wao na mziki ni best friends. Pia kulikuwa na kabati la nguo yale ya kujengewa ukutani. Chupi zilikuwa zimening’inizwa pale kwenye kabati zikaanza kunipa mzuka hahahahah!

Basi nikawa nimekaa pembeni ya kitanda huku miguu ikiwa nimeiweka chini yaani sikupanda mzima mzima kitandani. Yeye akaja kukaa pembeni yangu. Alikuwa bado amevaa nguo ya kulalia na chupi tu, ilionekana hata kuoga alikuwa bado hajaoga toka aamuke maana nywele zilikuwa timutimu japo ilikuwa mida kama ya saa tisa hivi. Alikuwa Amelia mpaka macho yakawa kama yamevimba hivi. Akawa ananielezea namna bibi yake alivyougua na kufariki, na kwa muda huo mwili ulikuwa umehifadhiwa mortuary na ungeletwa siku ya mazishi. Kwa hiyo nikawa na kazi ya kumbembeleza na kumfariji kwa kumweleza kifo ni kitu cha kawaida japo binadamu tumeshindwa kukizoea. Nikawa namwambia bibi yake umri ulikuwa umekwenda sana hivyo anastahili kupumzika hivyo aache kulia. Kifupi nikajifanya mzee wa busara. Nikiwa naendendelea kumfariji nikamvuta kwa kumzungushia mkono wangu kiunoni kwake nikimwashiria ajipumzishe kwenye mapaja yangu, yaani afanye kama kunilalia mapajani. Sikuwa na lengo lolote la kumpiga miti, nilikuwa namfariji tu, hivyo niliona ajilaze kwenye mapaja ili labda aweze kuhisi kuna mtu anamjali. Si unajua tena unapoamua kumkumbatia mtu, kwa kumwambia akulalie huku ukimpapasa mgongoni (cuddling) inamfanya mtu kurelax. Aliponilalia tukawa tunaongea huku nikimpapasa mgongoni, huku mkono mwingine nikawa nashikashika nywele. Nywele zilikuwa zimetimuka maana alikuwa hata hajaoga, hivyo nikawa napitisha vidole kwenye nywele kama namchana kwa chanuo la vidole. Tukiwa tunaongea huku namshika mshika mgongoni na kuwa kama napitisha vidole kwenye nywele zake nikashangaa anainuka na kwenda kufunga mlango. Nadhani kitendo cha kumchezea nywele kilimpandisha nyege. Sikuwa na wazo kabisa la kumpiga miti maana nilikuwa najua yupo kwenye majonzi na hivyo nilikuwa pale kwa ajili ya kumfariji. Nikashangaa anainuka na kwenda kuufunga mlango, then akarudi tena akanilalia kama alivyokuwa amenilalia. Kitendo cha yeye kwenda kufunga mlango wazo la kumpiga miti likaanza kuniijia, ila nikawa najisemea acha nione Khumbu anataka kunipiga tukio gani hapa kwenye msiba. Mara akaniambia “babe tupande kitandani”, nikavua viatu nikapanda kitandani, nikaenda kuegamia ukutani. Akanifata akanishika mikono kwenye mashavu akaashiria kutaka kunila denda, nikafanya kama kumsukuma kidogo kuashiria tusifanye hicho kitendo hapo msibani. Nikamwambia, Khumbu please tupo msibani hapa, huoni kama tutaleta picha mbaya. Ndugu zako wapo hapo nje na wanaweza kukuita muda wowote huoni kama tutatia aibu? Akanijibu, “Let me worry about that”. Nikaona kabisa naenda kumla Khumbu humu humu chumbani kwake tena kukiwa na msiba. Basi akanifuata tena na mimi nikampokea tukanzaa kissing. Khumbu kwenye kukiss yuko njema sana. Huko nyuma alishawahi kuniambia nijifunze French kiss, alikuwa ananiambia sijui kukiss hivyo anahitaji kunifundisha how to kiss a woman, alishaniambia eti namkiss mpaka anakosa pumzi. Anyway alishanipa darasa hivyo tukawa tunaenda sawa.

Kitu nilichokuwa nampendea huyu mwanamke, kwenye kufanya mapenzi huwa harembi, akiamua kukupa anakupa kwa moyo mkunjufu bila kukupimia. Hapo nikamuona kapata nguvu, hata ile sura ya huzuni nikaona imepotea, akawa ananikiss very passionately. Ndani ya dakika sifuri tayari tukawa kama tulivyozaliwa. Sikutaka tutumie muda mrefu kugongana, hivyo nikamwambia tushuke chini ashike ukuta, kwa sababu najua kwa hilo tako lake akiinama siwezi kuchukua muda kabla sijamaliza. Basi tukashuka chini, akakamata ukuta, nikaanza kumshughulia. Haikuchukua muda tukamaliza. Akachukua chupi yake akanifuta, akavaa night dress yake kisha akaenda kufungua mlango na kutoka nje kwenda kuangalia hali ya hewa. Mie nikavaa nguo chap nikawa namsubiria arudi kama inawezekana niondoke maana sikutarajia kufanya mapenzi siku ile. Halafu nikawa najiuliza, ina maana ameniomba nije tufanye mapenzi?.

Aliporudi akaniomba niende bafuni nikanawe, nikamwambia haina haja, nitaenda kuoga nyumbani. Tukarudi kukaa kitandani na kuendelea kupiga stori. Akawa ananiambia baada ya mazishi atasafiri kwenda kwa ndugu zake kwenda kupumzika huko maana pale kwenye hiyo nyumba walikuwa wanakaa watatu tu, yeye, bibi yake na mwanae. Baada ya bibi yake kufariki asingeendelea kuishi pale peke yake. Ingebidi kwanza akaishi kwa ndugu zake kabla ndugu hawajaamua kama hiyo nyumba wataiuza au ataendelea kukaa pale. Ila akaniambia mtoto wake atampeleka kwa baba ake, infact baba yake alikuwa anataka kumchukua mtoto tokea zamani ila yeye na bibi yake walikuwa wanamkatalia. Kwa kuwa sasa bibi hayupo duniani ambaye alikuwa anashinda na mtoto itabidi tu aende kukaa kwa baba yake.

Nilikaa pale mpaka saa 12 jioni, ilipofika saa 12 ikabidi niage. Tukatoka chumbani kwake mpaka nje pale walipokuwa wamekaa ndugu zake. Walikuwa wanawake 3 na mwanaume mmoja. Nikawaaga pale, na walionekana hata hawakuwa na habari na tulichokuwa tunakifanya chumbani. Khumbu akawa ananisindikiza kuelekea kituoni. Tukiwa tunaelekea kituoni akaniomba siku ya mazishi nihudhurie. Mazishi ilikuwa Jumamosi inayokuja, yaani Jumamosi ya wiki husika, na siku ile ilikuwa kama siku tatu kabla ya Jumamosi.

Niliporudi mjengoni nikawaelezea jamaa zangu yale yaliyomfika shemeji yao Khumbu. Jamaa wakanisisitiza sana siku ya mazishi niende, kuhudhuria mazishi kutaonyesha kiasi gani namjali Khumbu. Pia wakawa wanasema hiyo ndio siku itakayonipa nafasi ya kuwajua ndugu wengi wa Khumbu pia ndio siku nitakayoweza kumjua baba wa mtoto wa Khumbu maana lazima ahudhurie mazishi ya bibi wa mzazi mwenzie. Kweli nikaona swala la kuhudhuria mazishi ni la muhimu maana nilianza kuwa na shauku ya kwenda kumuona huyo jamaa aliyezaa na Khumbu, nikakata shauri acha nikakutane na mume mwenzangu.

Itaendelea…

Kwa wale wanaohitaji kuchangia hela ya bando namba ni hii 0676405024, hahahaha vyuma vimekaza, humohumo kwenye bando na mimi nipate hela ya kula hahahahaha!. Imesajaliwa kwa jina la Samaritan Water Solution. Hii ni namba ya ofisi ya kampuni yangu. Changieni chochote wakuu, hii stori nitaiweka hapa hapa mpaka iishe. Watu wengi wameniomba nisiisumarise hivyo matukio yote niliyoyaainisha kule mwanzo niyatayaelezea kwa mapana yake.
Ngoja Nianze Kusoma sasa
 
Ngoja niendelee sasa
 
Back
Top Bottom