Oyaa jamaa upo serious. Unaifanya km kaziHahahahaha konda msafi huyo dem anaitwa Siphosethu Maqhubela ila yeye yupo hai bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila malizia story tu then ndo utupe picha ya Khumbu mwenyewe [emoji1787]View attachment 1714959
Konda msafi katuona sisi ni kama chapati za chaduma vile..kiddingHahahahaha konda msafi huyo dem anaitwa Siphosethu Maqhubela ila yeye yupo hai bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila malizia story tu then ndo utupe picha ya Khumbu mwenyewe [emoji1787]View attachment 1714959
Picha aliyoweka ni hiyo hapo juu iliyowekwa na mkuu jonqNimekuw mmoja wa waliosistizi pcha ya Khumbu iwekwe.Lakn imewekwa na kufutwa bila mi kuiona.Imeniuma san!
Hata style ya hili vazi kwa wale watu wa fashion ni style latest kabisaa....au nasema uongo ndugu zanguHahahahaha konda msafi huyo dem anaitwa Siphosethu Maqhubela ila yeye yupo hai bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila malizia story tu then ndo utupe picha ya Khumbu mwenyewe [emoji1787]View attachment 1714959
Hahahaha wewe jamaa bhana. Ungekausha bana. Watu walikuwa wanahitaji picha ili stori iishe. Sasa ndio umefanya nini sasa hahahaha! Basi waletee na Khumbu original sasa.Hahahahaha konda msafi huyo dem anaitwa Siphosethu Maqhubela ila yeye yupo hai bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila malizia story tu then ndo utupe picha ya Khumbu mwenyewe [emoji1787]View attachment 1714959
Hahahahaha konda msafi huyo dem anaitwa Siphosethu Maqhubela ila yeye yupo hai bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila malizia story tu then ndo utupe picha ya Khumbu
Konda usimlete real Khumbu kwa heshima yako kwake, watu wenyewe si wema hata wanataka kuitumia picha ya marehemu kwenye mambo yao meusi.Hahahaha wewe jamaa bhana. Ungekausha bana. Watu walikuwa wanahitaji picha ili stori iishe. Sasa ndio umefanya nini sasa hahahaha! Basi waletee na Khumbu original sasa.
Jana saa sita usiku alituma humu sema aliuta uzuri mm nilscreebshot ila kwa kutumia ustraabu navunga tu.Konda usimlete real Khumbu kwa heshima yako kwake, watu wenyewe si wema hata wanataka kuitumia picha ya marehemu kwenye mambo yao meusi.
π€£ππ π€£πKhumbu mtotoView attachment 1715054
Khumbu siwezi kumleta mkuu. Kila mtu amchore wa kwakwe.Konda usimlete real Khumbu kwa heshima yako kwake, watu wenyewe si wema hata wanataka kuitumia picha ya marehemu kwenye mambo yao meusi.
Nimekupata mkuuπππ, ila jf raha sanaKhumbu siwezi kumleta mkuu. Kila mtu amchore wa kwakwe.
Halafu wewe jamaa unaonekana una akili nyingi sana hahahahabha.Nimekupata mkuuπππ, ila jf raha sana
[emoji23][emoji23]Waswahili sio watu wazuri.Halafu mbona kama nimehisi hata Khumbu ni Character name sio jina halisi kwasababu alijua Waswahili wangegoogle tu [emoji3][emoji3][emoji3]