Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

ANGALIZO: Katika nchi ya Tanzania usijaribu kumdanganya MBONGO, pamoja na umasikini wake ataenda kukopesha pesa ya VOCHA akufuatilie kwenye mitandao yote, pages zote za watu..yani MBONGO ni usalama wa taifa part 2
Hahahaha ila hii story ilikuwa ya kusisimua sana hadi mitaani ina trend,binafsi nili amini hiyo picha hadi pale nilipo tiashaka hiyo picha ya khumbu,ni kama mtu ambaye alikuwa photoshoot nikaongeza mashaka niliposikia umempiga mkiwa kitongoji cha rossburg,nikafanya ku google lens na image search kule bing ikaleta matokeo chanya,bado naimani na awamu hii chini ya uongozi wa jiwe tutapata tu picha halisi ya khumbu konda msafi malizia kwanza story ili tukiingia kazini tuwe na uhakika wa kuchakata data.
 
Carlton centre kwa mbaaaali!
Nalog off
 
konda wa daladala umetupitisha bahati mbaya tulilala afu na picha ikafutwa bila kuizoom. ila dah konda msafiiii
 
Hahahahaha! Picha halisi ya Khumbu kwa heshima yangu kwakwe hamuwezi kuipata. Mlifanikiwa kumpata Sandile lakini Khumbu sidhani. Wabongo mna mambo mengi sana hivyo kila mtu amchore Khumbu kichwani kwake.
 
Dah! 🀣 🀣 🀣
✌️
 
Absolutely!
✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…