konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
-
- #3,201
Boss kubwa anauza magari sasa hivi. Ila nadhani bado hiyo issue anaifanya.asante kwa hii story...wale wanao bado wanapiga mishe za drugs??
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Halafu wewe mzee wa ubwabwa mbona unamwandama sana shemeji yako? 2025 tutakupa kura, naona uchaguzi ulikuvuruga akili. Nina shemeji yako mwingine hapa walikuwa wanamuita Masogange chuoni na kanizalia wajomba zako wawili wenye afya tele. Usihofu Khumbu hajafa kwa ngoma hahahahaha!Khumbu alikufa kwa ngoma ndugu yangu kikubwa kula vizuri zingatia dawa.na mazoezi,mi niko huku Durban I know her
Nafikiri bado wanaendelea ila kwa sasa kazi inayojulikana wanayoifanya ni biashara ya magari.asante kwa hii story...wale wanao bado wanapiga mishe za drugs??
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Financial Accounting. Mkuu nimekuwekea kabisa na academic records, vipi hukuziona?Konda msafi chuo ulipiga course gani?
Financial accounting ni accounting pure. Ukisikia uhasibu ndio huu.Naona haijatofautiana na bussiness administration
Asante mkuu.one of my best story nlizosoma humu jf hii ya konda msafi naipa namba Moja kiukweli uliniteka daily kabla ya kulala nlilazimika kuchungulia humu asante konda msafi na pole pia kwA kumpoteza Khumbu.
Konda vipi upande wa maslahi pale Bloe ukiwa kazini.Mkwanja ulikuwa unatosheleza mahitaji na ziada kubaki?Pressure ya kuandika stori imekwisha maana mlichokitaka nimewapa. Sasa nipo hapa kujibu maswali ya nyongeza. Karibuni.
labda kabla hajajibu konda msafi ni kuwa kule kwenye vyombo vya habari isingelipa kwani kina Dr Maro wasingekubali yale maneno ya kukung'uta kiuno km anaondoa siafu, au kumgongea swimming pool au kule kwenye kigodoro wakati juu watu wanakula chabo, labda atunge kitabu ambacho naye kakataa gharama ni kubwa kukiandaa,Hii story ungepeleka kipindi cha njia panda clouds ingeuza sana endapo ungekuwa umefulia kimaisha.maana wale mwisho wa siku lazima mleta stori aombe msaada,tatizo we wakishua
Mkuu SA ukiwa mwajiriwa unalipwa hela nzuri. Kule hadi mwalimu wa primary analipwa vizuri.Konda vipi upande wa maslahi pale Bloe ukiwa kazini.Mkwanja ulikuwa unatosheleza mahitaji na ziada kubaki?