Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Khumbu alikufa kwa ngoma ndugu yangu kikubwa kula vizuri zingatia dawa.na mazoezi,mi niko huku Durban I know her
Halafu wewe mzee wa ubwabwa mbona unamwandama sana shemeji yako? 2025 tutakupa kura, naona uchaguzi ulikuvuruga akili. Nina shemeji yako mwingine hapa walikuwa wanamuita Masogange chuoni na kanizalia wajomba zako wawili wenye afya tele. Usihofu Khumbu hajafa kwa ngoma hahahahaha!
 
one of my best story nlizosoma humu jf hii ya konda msafi naipa namba Moja kiukweli uliniteka daily kabla ya kulala nlilazimika kuchungulia humu asante konda msafi na pole pia kwA kumpoteza Khumbu.
 
Pressure ya kuandika stori imekwisha maana mlichokitaka nimewapa. Sasa nipo hapa kujibu maswali ya nyongeza. Karibuni.
Konda vipi upande wa maslahi pale Bloe ukiwa kazini.Mkwanja ulikuwa unatosheleza mahitaji na ziada kubaki?
 
Hii story ungepeleka kipindi cha njia panda clouds ingeuza sana endapo ungekuwa umefulia kimaisha.maana wale mwisho wa siku lazima mleta stori aombe msaada,tatizo we wakishua
 
Hii story ungepeleka kipindi cha njia panda clouds ingeuza sana endapo ungekuwa umefulia kimaisha.maana wale mwisho wa siku lazima mleta stori aombe msaada,tatizo we wakishua
labda kabla hajajibu konda msafi ni kuwa kule kwenye vyombo vya habari isingelipa kwani kina Dr Maro wasingekubali yale maneno ya kukung'uta kiuno km anaondoa siafu, au kumgongea swimming pool au kule kwenye kigodoro wakati juu watu wanakula chabo, labda atunge kitabu ambacho naye kakataa gharama ni kubwa kukiandaa,
najua alichoomba tumuunge mkono kwenye hii NGO, km ni ya kwake Hongera zake sana kuliko angekuwa Mhasibu huko Bondeni
1615096205814.png
 
Back
Top Bottom