Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Dah!!! [emoji30] [emoji30] [emoji30] Mawazo ya kijinga kabisa haya....
 
Ile we mwanaume....ndo unawaadithia wenzako kila kitu cha Durban.

No wonder sandile alikua hataki tuwe kwenye relationship.
 
Kuanzia juzi hapa JF pamekuwa patam sana, kuna nyuzi kama 3 hivi nkiingia lazima nizipitie.
1.hii ya khumbu
2.Jamaa anaye mkataa mtoto rasmi.
3.ya mzee wetu Mwitore na bi mdogo wake.

Yaani mambo ni Hot no Stress.
Mkuu nipe link ya hiyo #2 nami niisome tafadhali. #1 na #3 nafuatana nazo tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…