Mkuu naomba link ya huo uzi wa kukataa mtoto.Yule wakukata mtoto kanilaza saa 8 huyu naye wa leo kanishindisha jumuiya hata chai sijanywa konda msafi
Halafu utasikia wapuuzi eti watanzania hatupendi kusoma
Asitunyime uhondo sieWewe tena[emoji28][emoji28]
Hapo ndio unataka kuharibu sasa. Mkuu hamna mtoto humu, we tiririka tuu, stori bila kugusia hayo maeneo haitanoga. Endelea ivoivo ili iwe na package ya kutosha.Wote mnaofatilia huu mkasa. Naomba niwaombe samahani sana kwa kuongelea mambo ya chumbani. Najisikia vibaya kuwa so explicit. Natamani kuifuta hiyo episod ya chumbani maana najisikia hatia kidogo. Unajua binadamu tuna ile nature flani ya kutambua kama kuna kitu flani umekifanya hakiko sawa kinakufanya ujisikie vibaya. Na huenda humu kuna wasomaji hawajakifurahia hicho kipengele cha mambo ya chumbani, kama wapo naomba wanisamehe na ikiwezekana tunaweza tukawaomba na moderators wakakifuta hicho kipande. Ila kama hakuna mtu aliyekwazika na hicho kipande basi tuendelee na episodi nyingine ingawa mimi binafsi sitaongelea tena mambo ya chumbani. Kwa maana hiyo hata kile kipengele cha 071 zitakielezea tena. By the way hakuna mtu aliyenifata na kuniambia labda hicho kipengele sikutakiwa kukiandika bali ni mimi tu nimejisikia vibaya.
Hadi nimecheka mwenyeweVile mleta uzi alikuwa busy kusafisha mitaro yote miwili![emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1701359
[emoji23][emoji23][emoji23]Au sio??..mtabadilisha pants mara tano kwa siku leo kwa kuziloweshaEndelea hatuna tatizo
Cc: khumbu_peresakonda msafi mtag Khumbu aje aone story yake ilivyo one of african romantic story
Ili aje tuitengenezee movie na wahusika muwe ninyi wenyewe
Hapa nilipo nimebana miguu Kama 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]Au sio??..mtabadilisha pants mara tano kwa siku leo kwa kuzilowesha
Hapa nilipo nimebana miguu Kama [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuelewa mkuu, niwie radhi. Na pia naomba kwa leo tuishie hapo maana hata mimi akili imevurugika kidogo, nimekosa amani ya moyo. Tutaendelea kesho panapo majaliwa.Binafsi nlikwazika [emoji849], maana inabadilisha hata dhamira ya uzi.
Ukifika vipande kama hivyo unaweza sema tu kuwa tukafanya yetu, hapo inaeleweka, sio kuanza kueleza mambo ambayo hayakuwa na umuhim
Kumbuka kumbukumbu zitabaki milele hapa hata ukiwa tayari usharudi kwa Muumbaji Mungu mfalme.
Binafsi nimefurahishwa na kujitambua kwako, na kuwataka radhi wafwatiliaji wa uzi wako huu mzuri.
Unajua kukatisha tamaa!Picha zenyewe huweki au Hadi tukubembeleze
Mnaona sasa? Sasa leo sijui tutasoma nini hapa, mkuu ukikaa vizuri tubariki na episode kadhaa hata za kufungia siku baadaye baadaye huko.Nimekuelewa mkuu, niwie radhi. Na pia naomba kwa leo tuishie hapo maana hata mimi akili imevurugika kidogo, nimekosa amani ya moyo. Tutaendelea kesho panapo majaliwa.
We potea tu huna faida yeyote tuache na khumbu wetuTumetoka kwenye story ya khumbu tunaingia kudanganyana sasa
Mimi binafsi mtanange wa story naishia episode hii
Wenzangu endeleeni
Ishakua tabu tena! Unaambiwa wengi wape wachavhe wasikilize....Nimekuelewa mkuu, niwie radhi. Na pia naomba kwa leo tuishie hapo maana hata mimi akili imevurugika kidogo, nimekosa amani ya moyo. Tutaendelea kesho panapo majaliwa.