Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Msimuliaji ananifanya nisisome mada zingine kwa kukosa mda kutokana na mda mchache nnaoupata wa kuingia JF.

Yani nkiingia JF naanzia huku mpaka najikuta mda ule nimeumalizia huku!
 
mtafute mzee
 
Izi 2 na 3 naweza kuziapta jukwaa lipi mkuu?
 
Ndio maana kunaongoza kwa ngoma mkuu
 
Izi 2 na 3 naweza kuziapta jukwaa lipi mkuu?
 
Habari wakuu? Nimepitia comments za wadau na kuona karibia kila mtu anataka nisikiruke kipengele cha 071. Halafu nimeona hii thread imepata view nyingi sana. Kulingana na watu wengi kuonyesha kutaka kipengele tajwa nikiweke, nimeona haina budi nikiweke. Ila ningeomba moderators waufute huu let's say baada ya wiki hivi. Maandishi yanadumu, vizazi na vizazi vitakuja kusoma huu uzi na nisingependa uzi huu uwe sehemu ya kuhamasisha hicho kitendo ingawa kitendo chenyewe hakikufanyika. Sasa sina uhakika kama moderators watakuja kuufuta huu uzi au ndio watauacha uendelee kuwepo daima.
 
Nilio wakwaza naomba mnisamehe bure, yalikuwa maoni yangu kwa Konda msafi, bahati nzuri kayaelewa na kuyafanyia kazi.

Inaonesha Dunia imefika sehem mbaya mno, mambo ambayo ni machukizo kwa Muumba wetu ndo yanapendwa na wengi.

Niwakumbushe tu kuwa Mungu aliiangamiza sodoma na Gomora kwa Dhambi za kutumia Tg, hivyo geukeni sasa mkatubu kwa kulia na kuomboleza nanyi mtasamehewa.
 
Huu uzi ni kama wa Mwitore ilaa huu umechangamka na chachandu ming, na pilipili za kushato.. mimi safari yangu imeishia hapa, endeleeni wadau.
 
Pimbi wewe unatafuta nn kwenye hili jukwaa? Au hujaona jukwaa la dini ,yaan mijitu mingine sijui mpoje ,yaan Kila sehem lazim awepo kimeo mmoja .

Kwanza jukwaa linahusu Nini hili Hadi ulete usenge wako huo we kima?

Kafie mbele huko ,usitake kupangia watu namna ya kuishi ,sema bahat nzur umekutana na msimulij mstarab ingekuwa mm ningekupa makavu live ,coz umevamia uzi alaf unajufanya kuleta usnitchi .jaribu kubalance shobo we kima[emoji867][emoji867]
 
Haya tumekuelewa

Shusha vitu sasa
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]mkuu msamehee
[emoji28][emoji28]
 
Hebu. Inasemaje hiyo ya father mkuu?. Naipataje?
 
Nakojooooooooaaaaaaaaaaaaaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…