Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Wee nae kondoo tu. Walokole huu uzi hauwahusu...

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi mkuu
 
Huu uzi Ni mtamu sana ila kwasasa unaanza kupoteza Radha kutokana na comment Ni nyingi kuliko story yenyewe hadi inapoteza mtiririko wa mwanzo
 
Ulikuwa unamdinya mwanafunzi prof?
 
Mkuu unahatarisha usalama wangu humu[emoji29] naomba mods waniongezee ulinzi kama hutaelezea hiko kipengele hali ya usalama wangu hapa itakuwa ndogo sana kaka.
Hao uliowaomba ulinzi na wao wanakisubiria hicho kipengere sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…