Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Basi tulia ujifunze mapigo ya khumbu.Sitaki menuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tulia ujifunze mapigo ya khumbu.Sitaki menuna
Wewe ndo umeharibu kila kitu kumbufu weweMember wa JF baada ya kuambiwa kuna kipengele kitarukwa basi wanajifanya wako okay kabisa hawaja huzunika hivi ndivyo wanavyo onekana.View attachment 1701579
[emoji23][emoji23] mwitore apatiwe mteja haraka sana wa nyumba
Wee nae kondoo tu. Walokole huu uzi hauwahusu...Endelea kuisikiliza nafsi yako, usifuate makelele ya nje kama jambo hili ni baya kwako usifanye, msimamo wako ulikuwa sahihi kutokuliongelea, shetani asikushinde kwenye hili.
Namwunga mkono ndugu j wa nmb simama na kilicho right hata kama uko pekeyako.
Uko sahihi mkuuKonda na Wewe sasa hueleweki.
Topic inazungumzia mapenz, Mwanzo hadi mwisho. Anayekuja ku soma uzi wa mapenz ategemee nini sasa zaidi ya kukutana na mambo ya mapenzi.
Sasa, ww sijui unakwazika nini hasa? Yaani ishu ya mapenz unataka uzungumzie mpira badala ya mapenzi?
Topic ni ya mapenz, ukizungumzia mapenz unakuwa umemkwaza mtu? Huoni kutokuzungumzia mapenz kwenye mada ya mapenz ndo utakuwa umewakwaza wasomaji?
Halafu, hii forum tena tupo anonymous mtu akiona hii topic inamkwaza si anaenda kusoma uzi za jukwaa la siasa, ama historia? Kwa nn aje akwazike na mapenz kwenye topic ya mapenz?
Ingekuwa topic ya mpira ndo unazungumzia mapenz ndo ungejisikia vibaya labda kidogo!
TULETEE story acha uboya! (Sijakutukana nimekupa live tu kama mwanetu)
Ulikuwa unamdinya mwanafunzi prof?yan kila nikisoma hii nakumbuka penz la mtoto alikuwa anasoma loyola alikuwa msambwanda wa hatari ukipita nae ubungo kwa miguu utapata tabu sana kipindi hicho nipo mkoani nilikuwa namfuata dar naish nae kinyamwezi alikuja kulizima penz kimasihara sana iliniuma *****, siji kusahau, mtoto alikuwa mtamu sana daaah kala sana hela zangu za loans board saivi nazilipa mwenyewe....Yule angenikuta kipind hiki ningemvuruga sana..nilimla sana ila naonaga kama haikutosha...
Hiki ni kiumbe gani tena ndio khumbu mwenyewe huyu? anatuonyesha tako la kuning'inia ama?Vile mleta uzi alikuwa busy kusafisha mitaro yote miwili![emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1701359
Hao uliowaomba ulinzi na wao wanakisubiria hicho kipengere sana.Mkuu unahatarisha usalama wangu humu[emoji29] naomba mods waniongezee ulinzi kama hutaelezea hiko kipengele hali ya usalama wangu hapa itakuwa ndogo sana kaka.
Ikiwezekana tukeshe kabisaKumbe mpo mnaosubiri episode pendwa usku huu[emoji2960][emoji2960][emoji2960]