Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jamani apumzike kwa amani
 
Naukumbuka huo Uzi aisee
 
Mkuu!!!
Ni nini sasa hii unatufanyia? Kutufanya tuweke kambi kwenye huu uzi malipo yake ndiyo haya?kuna visa vingi hujaeleza ambavyo ulitusubirisha kama ulivyoondoka SA khumbu alilia.. Hujaeleza ilikuwaje? Naomba umalizie tu hii stori Mkuu..
 
Mkuu tumepoteana sana
 
Duhhh Yamekua hayo tena kaka?[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Naona baada ya kuhakikisha watu wanao ufatilia uzi huu ni wengi umeshalewa sifa na kuamua kutufanyia hivi....
 
Tatizo la wabongo ukiwasifia kidogo tuu matokeo yakee ndo hayoo
BTW Uzi kauleta mwenyewe ....kaustopisha mwenyewe[emoji625]
 
Mkuu, memeber wachache wanakuyumbisha ukatishe story na wewe unakatisha, achana na wachache, eleza kwanini Khumbu alifariki na ulisema utaleta picha yake
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee nadhani ulikuwa unazimia na kupata mshtuko wa moyo kila kukicha
 
Una title gani, kama unaweza weka link itapendeza. Nimesearch kuna page 25 sijaona.
Utafute tu mkuu utaupata. Au omba watu wanaojua kutafuta nyuzi waupandishe hapa. Mie mwenyewe sijui jinsi ya kutag nyuzi hata nikiupata sitaweza kuupandisha hapa.
 
Summarize hata kwa maneno 100,
1. Kwanini alifariki wa ugonjwa gani?
2. Ulisema ulitaka kukamatwa na polisi
3. Picha ya Khumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…