Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Naamini mleta stori anastahili adhabu kali tena haijalishi stori ameamua alete mwenyewe bila kushaishiwa na mtu yoyote au.

Natoa tamko nampa saa 12 kama hatamalizia stori kulingana na matakwa ya wasomaji kitakachomkuta nisije nikalaumiwa .ikiwa huruma yangu itanipendeza zaidi nitaimalizia stori mwenyewe na kutupia picha za khumbu.

Utamu wote huwezi ukageuka chungu ghafla bila maelezo ya kueleweka. eti kisa stori ni ndefu mara ohhh imechukua miaka sita haiwezekani kuilezea kwa siku chache ...nakakaa hilo sio kweli unajua stori ya roma ilichukua zaidi ya miaka 890 lakini ilichukua wiki na siku chache kuiandika.
 
Hapana mkuu, hakuna hata mtu anayenichambua kaka. Kuwa na amani kabisa ndugu yangu. Hata kama wataamua kunichambua na kupata identity yangu hamna watakachopata maana naishi maisha clean kabisa. Naendesha maisha yangu kwa kipato halali kabisa. Sema tokea nimeanza kuandika hii stori imenichukulia muda wangu mwingi sana. Mwanzoni nilidhani ningeimaliza siku moja tu ndani ya masaa machache ila kadri nilivyozidi kuandika nikajikuta natamani kuiielezea vizuri tukio kwa tukio ili kumfanya anayeifuatilia aweze kupata picha nzuri ya tukio. Niliona nikiielezea kwa juu juu itabore na insingefikia lengo langu la kuishare hapa JF. Kawaida nikiamua kufanya kitu nina tabia ya kukifanya kwa ufanisi. Hata nilipokuwa shule nikiwa najibu swali huwa nalijibu kwa kuhakikisha point zote ninazozijua naziandika, sina tabia ya kuandika au kufanya jambo kwa kulipua. Kulingana na nilivyo nimeona hii stori itaendelea kunichukulia muda wangu maana sitataka niiandike kwa kuikimbiza au kurukaruka.
Kama umeamu kukatisha stori sawa maana ni yako.

Ila maliza kuweka picha ya khumbu Basi ili Uzi ufungwe rasmi na wewe iendelee na maisha yako
 
Naamini mleta stori anastahili adhabu kali tena haijalishi stori ameamua alete mwenyewe bila kushaishiwa na mtu yoyote au lah

Natoa tamko nampa saa 12 kama hatamalizia stori kulingana na matakwa ya wasomaji kitakachomkuta nisije nikalaumiwa .ikiwa huruma yangu itanipendeza zaidi nitaimalizia stori mwenyewe na kutupia picha za khumbu

Utamu wote huwezi ukageuka chungu ghafla bila maelezo ya kueleweka. eti kisa stori ni ndefu mara ohhh imechukua miaka sita haiwezekani kuilezea kwa siku chache ...nakataa hilo sio la kweli unajua stori ya roma ilichukua zaidi ya miaka 890 lakini ilichukua wiki na siku chache kuiandika
 
Mkuu #kondamsafi SIO KESI FANYA HIVII SISI TUTAKUWA NA PUMZIKO LA MUDA UANDAE EPISODE KAMA 20 BILA KUTUPIA KWA MUDA WAKO THEN ZIKIKAMILIKA KWA SIKU UNATUPIA HATA 3 TUNAZISOMA KESHO TENA 3 HIVYO HIVYO NAAMINI UKIFANYA HIVYO HAUTAKUWA NA PRESHA YAKUANDIKA KILA WAKATI MAANA ZIKIFIKA 20 HUJAZIWEKA NDIO UKAANZA KUTUPIA ITAKUPA MUDA MZURI HATA KWA SIKU UKAWA UNAANDIKA MOJA KUJAZIA HIZO 20 NA MUDA UKAWA NAO WAKUTOSHA KULIKO KUSUBIRIA HIYO HIYO MOJA WATU WAISOME PRESH PRESHA ZA WATU ZITAPUNGUA.
 
Wewe jamaa unaonesha ni Mswahili Mswahili sana wa Mjini utakuwa ni Mjanja mjanja sana.

Nilijua tu ulikuwa umeanza bla bla bla nyingi Mara hivi mara ooh sijui nini nikajua kifuatacho hapa ni Spana tu.
 
Mkuu konda msafi pita hapa
Mkuu #kondamsafi SIO KESI FANYA HIVII SISI TUTAKUWA NA PUMZIKO LA MUDA UANDAE EPISODE KAMA 20 BILA KUTUPIA KWA MUDA WAKO THEN ZIKIKAMILIKA KWA SIKU UNATUPIA HATA 3 TUNAZISOMA KESHO TENA 3 HIVYO HIVYO NAAMINI UKIFANYA HIVYO HAUTAKUWA NA PRESHA YAKUANDIKA KILA WAKATI MAANA ZIKIFIKA 20 HUJAZIWEKA NDIO UKAANZA KUTUPIA ITAKUPA MUDA MZURI HATA KWA SIKU UKAWA UNAANDIKA MOJA KUJAZIA HIZO 20 NA MUDA UKAWA NAO WAKUTOSHA KULIKO KUSUBIRIA HIYO HIYO MOJA WATU WAISOME PRESH PRESHA ZA WATU ZITAPUNGUA.
 
Hii ishu imenikumbusha idawa alileta story 2015 ilibaki Kama sehemu mbili tuu akapotea jumla Kila wadau wakimkumbushia Sababu kibao mpaka leo. Huu Ni ukatili. Au ndo nature yetu Watz kuwa hakunaga Jambo tunaanzisha likaisha salama?? Maana hata miradi mingi ya nchi inaishiaga njiani
 
Wewe jamaa umenichekesha sana. Kumbe hata hii miradi inayoanzishwa na serikali huwa haiishi kwa sababu ya nature yetu wabongo? Hahahahaha! Duh! Hata hii miradi ya awamu ya tano ya jiwe nayo haitaisha sio?
 
Naomba nimpongeze konda msafi kwa kutenga mda wake na kutuletea story iliyoweza kuvuta hisia zetu na kuishia hewani na kutuacha dilema,naomba niseme tu kwa wengine Kama mtu unastory ubataka kushea na jamii please hakikisha unaikamilisha, kuaxha njia panda ni kutukosea na kutuadhibu kinafsi Kama alivyotufanyia mheshimiwa hapa,alivyoweza kutukatili nafsi zetu,hivyo ameamu kulipiza kisasialichofanyiwa na khumbu ameamua kutuadhibu ndugu zake[emoji26][emoji26]
 
Kuna siku nilishaomba Mods wampige ban Chizi Maarifa sababu ni kuanzisha stories halafu akijisikia kuikatisha ghafla tu anapotea. Konda Msafi ndio story ni yako ila ingekua bora ukakaa nayo kwenye nafsi kuliko huu utopolo unaotaka kufanya.
 
Back
Top Bottom