Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Naamini mleta stori anastahili adhabu kali tena haijalishi stori ameamua alete mwenyewe bila kushaishiwa na mtu yoyote au.
Natoa tamko nampa saa 12 kama hatamalizia stori kulingana na matakwa ya wasomaji kitakachomkuta nisije nikalaumiwa .ikiwa huruma yangu itanipendeza zaidi nitaimalizia stori mwenyewe na kutupia picha za khumbu.
Utamu wote huwezi ukageuka chungu ghafla bila maelezo ya kueleweka. eti kisa stori ni ndefu mara ohhh imechukua miaka sita haiwezekani kuilezea kwa siku chache ...nakakaa hilo sio kweli unajua stori ya roma ilichukua zaidi ya miaka 890 lakini ilichukua wiki na siku chache kuiandika.