Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Wewe jamaa umenichekesha sana. Kumbe hata hii miradi inayoanzishwa na serikali huwa haiishi kwa sababu ya nature yetu wabongo? Hahahahaha! Duh! Hata hii miradi ya awamu ya tano ya jiwe nayo haitaisha sio?
Mkuu@konda msafi malizia kka, wew angalau unatupa faraja humu....usiwe kama Jiwe bhana....Tafadhali
 
Kuna siku nilishaomba Mods wampige ban Chizi Maarifa sababu ni kuanzisha stories halafu akijisikia kuikatisha ghafla tu anapotea. Konda Msafi ndio story ni yako ila ingekua bora ukakaa nayo kwenye nafsi kuliko huu utopolo unaotaka kufanya.
Nisamehe boss. Sikutarajia kama hii stori ingekula muda wangu hivi. Toka Alhamis naiandika tu. Nilidhani itakuwa ni jambo jepesi la kuandika masaa machache na kuisha. I'm sorry man.
 
Nilio wakwaza naomba mnisamehe bure, yalikuwa maoni yangu kwa Konda msafi, bahati nzuri kayaelewa na kuyafanyia kazi.

Inaonesha Dunia imefika sehem mbaya mno, mambo ambayo ni machukizo kwa Muumba wetu ndo yanapendwa na wengi.

Niwakumbushe tu kuwa Mungu aliiangamiza sodoma na Gomora kwa Dhambi za kutumia Tg, hivyo geukeni sasa mkatubu kwa kulia na kuomboleza nanyi mtasamehewa.
Mlokole
 
Hapana mkuu, hakuna hata mtu anayenichambua kaka. Kuwa na amani kabisa ndugu yangu. Hata kama wataamua kunichambua na kupata identity yangu hamna watakachopata maana naishi maisha clean kabisa. Naendesha maisha yangu kwa kipato halali kabisa. Sema tokea nimeanza kuandika hii stori imenichukulia muda wangu mwingi sana. Mwanzoni nilidhani ningeimaliza siku moja tu ndani ya masaa machache ila kadri nilivyozidi kuandika nikajikuta natamani kuiielezea vizuri tukio kwa tukio ili kumfanya anayeifuatilia aweze kupata picha nzuri ya tukio. Niliona nikiielezea kwa juu juu itabore na insingefikia lengo langu la kuishare hapa JF. Kawaida nikiamua kufanya kitu nina tabia ya kukifanya kwa ufanisi. Hata nilipokuwa shule nikiwa najibu swali huwa nalijibu kwa kuhakikisha point zote ninazozijua naziandika, sina tabia ya kuandika au kufanya jambo kwa kulipua. Kulingana na nilivyo nimeona hii stori itaendelea kunichukulia muda wangu maana sitataka niiandike kwa kuikimbiza au kurukaruka.
Umeshindwa kuonesha ufanisi hapa
 
Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Mkuu umenitoa choz mbona umetuacha na maumivu kiasi hichi sio poa bora useme unataka pesa tukupe
 
konda msafi kwa hili umeyumba sema wabongo ndio tulivyo hasa sisi wabongo na humu Jf Stori zilizoisha ni chache sana sema kwa hapa hujatenda hakiii hata kama hii story uneitoa bure is not fair Brother...
 
Mwendelezo

Kwa sisi tunaounga dot ipo hv hii stor ni km ishasimuliwa yote khumbu alikuwa kicheche mpenda pesa na sio malaya gari alioenda nayo ni ya moja wa masponsor wake khumbu alimpenda sana mshikaj ktk damu na si pesa issue ya .madawa ya kulevya khumbu alijua pia jamaa io biashara alifanya bisha nilete ushahid kuhisu kifo cha khumbu ni utata na jamaa hana jibu maana amerefer kuwa alikuwa bongo baada ya chuo kuisha
 
Wewe jamaa umenichekesha sana. Kumbe hata hii miradi inayoanzishwa na serikali huwa haiishi kwa sababu ya nature yetu wabongo? Hahahahaha! Duh! Hata hii miradi ya awamu ya tano ya jiwe nayo haitaisha sio?
Rafiki naamini wewe haupo hivyo. Kwanza umetembea mataifa mbalimbali Yale mautandu ya Kitanzania kwenye ubongo wako yalishatoka. Sasa mkuu fanya hata Mara mbili kwa wiki Unajua wewe jamaa una kipaji Cha kusimulia??

Jiulize Ni nyuzi ngapi zimeliliwa kwa kiasi hiki Kama uzi wako?? Mi Ni msomaji wa vitabu na makala Sana. Nikianza kusoma kurasa tano tuu za mwanzo najua Niendelee au laa. Huu uzi nimeuanza Jana saa mbili usiku. Nimekesha hata Ibada sijaenda. Kuna post jamaa katoa hapo juu namna ya kuandika nimekutag. Naomba pliz kwa heshima kubwa Ya JF na ya kwako uliyojijengea Humu na Pia Shemeji yetu Khumbu.

Uangalie namna yoyote utakayoweza hata ikichukua miezi ila tupate Story yote. Halafu Unajua kuwa hakuna mtu anayepewa kitu kwa ajili yake mwenyewe??? Umepewa kipaji Ni kwa ajili yetu. Umeenda nchi za watu Ni kwa ajili yetu.

Hivi Unajua wengine tumesafiri huko kote ulikokua kihisia?? Hivi Unajua wangapi wanatamani kuvuka tuu mpaka wameshindwa?? Achilia mbali kuwa na Vimwana aina ya Khumbu.. Hivi mkuu Unajua umefufua penzi langu upya na mtoto wa kinyantunzu???

Tafadhali Sana Boss usitutendee haya.... Wengine Siyo Malaya, Si walevi, si washabiki wa mpira wala Muziki... JF ndipo kisima Cha maliwazo furaha Amani na utulivu kwetu. Be Blessed
 
Konda kajitolea mlipe nauli sasa aya buku buku hapo siti ya mbele ukilipa utaonyeshwa gari fasta fasta kuna episode 10 kwahiyo kila moja anatufanyia sh 100 [emoji1714][emoji1714] namba ya malipo hii hapa
 
Naamini mleta stori anastahili adhabu kali tena haijalishi stori ameamua alete mwenyewe bila kushaishiwa na mtu yoyote au

Natoa tamko nampa saa 12 kama hatamalizia stori kulingana na matakwa ya wasomaji kitakachomkuta nisije nikalaumiwa .ikiwa huruma yangu itanipendeza zaidi nitaimalizia stori mwenyewe na kutupia picha za khumbu

Utamu wote huwezi ukageuka chungu ghafla bila maelezo ya kueleweka. eti kisa stori ni ndefu mara ohhh imechukua miaka sita haiwezekani kuilezea kwa siku chache ...nakakaa hilo sio kweli unajua stori ya roma ilichukua zaidi ya miaka 890 lakini ilichukua wiki na siku chache kuiandika
Naunga mkono hoja
 
Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Naomba link ya huoooo uzi pls nataka nisome na pia kuliko uishie hapo basi we ruka na tupe vipande vile muhimu kwa kufupishaaa tu pls
 
Back
Top Bottom