Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,240
- 2,010
Mkuu@konda msafi malizia kka, wew angalau unatupa faraja humu....usiwe kama Jiwe bhana....TafadhaliWewe jamaa umenichekesha sana. Kumbe hata hii miradi inayoanzishwa na serikali huwa haiishi kwa sababu ya nature yetu wabongo? Hahahahaha! Duh! Hata hii miradi ya awamu ya tano ya jiwe nayo haitaisha sio?
Basi hutumii kabsa weweKati ya hizo situmii hata mojawapo
Nisamehe boss. Sikutarajia kama hii stori ingekula muda wangu hivi. Toka Alhamis naiandika tu. Nilidhani itakuwa ni jambo jepesi la kuandika masaa machache na kuisha. I'm sorry man.Kuna siku nilishaomba Mods wampige ban Chizi Maarifa sababu ni kuanzisha stories halafu akijisikia kuikatisha ghafla tu anapotea. Konda Msafi ndio story ni yako ila ingekua bora ukakaa nayo kwenye nafsi kuliko huu utopolo unaotaka kufanya.
MlokoleNilio wakwaza naomba mnisamehe bure, yalikuwa maoni yangu kwa Konda msafi, bahati nzuri kayaelewa na kuyafanyia kazi.
Inaonesha Dunia imefika sehem mbaya mno, mambo ambayo ni machukizo kwa Muumba wetu ndo yanapendwa na wengi.
Niwakumbushe tu kuwa Mungu aliiangamiza sodoma na Gomora kwa Dhambi za kutumia Tg, hivyo geukeni sasa mkatubu kwa kulia na kuomboleza nanyi mtasamehewa.
Umeshindwa kuonesha ufanisi hapaHapana mkuu, hakuna hata mtu anayenichambua kaka. Kuwa na amani kabisa ndugu yangu. Hata kama wataamua kunichambua na kupata identity yangu hamna watakachopata maana naishi maisha clean kabisa. Naendesha maisha yangu kwa kipato halali kabisa. Sema tokea nimeanza kuandika hii stori imenichukulia muda wangu mwingi sana. Mwanzoni nilidhani ningeimaliza siku moja tu ndani ya masaa machache ila kadri nilivyozidi kuandika nikajikuta natamani kuiielezea vizuri tukio kwa tukio ili kumfanya anayeifuatilia aweze kupata picha nzuri ya tukio. Niliona nikiielezea kwa juu juu itabore na insingefikia lengo langu la kuishare hapa JF. Kawaida nikiamua kufanya kitu nina tabia ya kukifanya kwa ufanisi. Hata nilipokuwa shule nikiwa najibu swali huwa nalijibu kwa kuhakikisha point zote ninazozijua naziandika, sina tabia ya kuandika au kufanya jambo kwa kulipua. Kulingana na nilivyo nimeona hii stori itaendelea kunichukulia muda wangu maana sitataka niiandike kwa kuikimbiza au kurukaruka.
Mkuu umenitoa choz mbona umetuacha na maumivu kiasi hichi sio poa bora useme unataka pesa tukupeJamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Hapana mkuu sihitaji pesa. Muda tu ndio tatizo.Mkuu umenitoa choz mbona umetuacha na maumivu kiasi hichi sio poa bora useme unataka pesa tukupe
Rafiki naamini wewe haupo hivyo. Kwanza umetembea mataifa mbalimbali Yale mautandu ya Kitanzania kwenye ubongo wako yalishatoka. Sasa mkuu fanya hata Mara mbili kwa wiki Unajua wewe jamaa una kipaji Cha kusimulia??Wewe jamaa umenichekesha sana. Kumbe hata hii miradi inayoanzishwa na serikali huwa haiishi kwa sababu ya nature yetu wabongo? Hahahahaha! Duh! Hata hii miradi ya awamu ya tano ya jiwe nayo haitaisha sio?
Naunga mkono hojaNaamini mleta stori anastahili adhabu kali tena haijalishi stori ameamua alete mwenyewe bila kushaishiwa na mtu yoyote au
Natoa tamko nampa saa 12 kama hatamalizia stori kulingana na matakwa ya wasomaji kitakachomkuta nisije nikalaumiwa .ikiwa huruma yangu itanipendeza zaidi nitaimalizia stori mwenyewe na kutupia picha za khumbu
Utamu wote huwezi ukageuka chungu ghafla bila maelezo ya kueleweka. eti kisa stori ni ndefu mara ohhh imechukua miaka sita haiwezekani kuilezea kwa siku chache ...nakakaa hilo sio kweli unajua stori ya roma ilichukua zaidi ya miaka 890 lakini ilichukua wiki na siku chache kuiandika
Hehe sio kwelKonda kajitolea mlipe nauli sasa aya buku buku hapo siti ya mbele ukilipa utaonyeshwa gari fasta fasta kuna episode 10 kwahiyo kila moja anatufanyia sh 100 [emoji1714][emoji1714] namba ya malipo hii hapa
Naomba link ya huoooo uzi pls nataka nisome na pia kuliko uishie hapo basi we ruka na tupe vipande vile muhimu kwa kufupishaaa tu plsJamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Njoo tujifunze Pamoja mwayegoππππππ Embuuuu...style moja inaboa bwana..Mimi mwenyewe nataka nipigwe miti kwa style mpya uwiiii
Unasema kweli??Njoo tujifunze Pamoja mwayego