Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Wewe jamaa umenichekesha sana. Kumbe hata hii miradi inayoanzishwa na serikali huwa haiishi kwa sababu ya nature yetu wabongo? Hahahahaha! Duh! Hata hii miradi ya awamu ya tano ya jiwe nayo haitaisha sio?

Umetukosea mkuu japo sio amri ila jua umetukosea
Malizia mkia kwa muda wako...sio siri am hurt[emoji20]na kwa kawaida ningekuwa nakujua ningekutoa ngeu leo[emoji35]shukuru sikujui
 
Kifo cha khumbu alichanganya mabwana zaid ya wawili na wote wakawa wanamgharimikia siku akawagonganisha wakachomana visu uko durban sasa washkaji wa uyo jamaa alieuwawa wakaamua wamtaitishe khumbu wakamfanyia umafia.
 

Sasa ukiwa mwanafunzi miaka ya 2008 si pesa nyingi hiyo [emoji23][emoji23]
 
Nisamehe boss. Sikutarajia kama hii stori ingekula muda wangu hivi. Toka Alhamis naiandika tu. Nilidhani itakuwa ni jambo jepesi la kuandika masaa machache na kuisha. I'm sorry man.
Mimi sielewi.. Hivi Unajua wengine ulevi Wetu Ni vitabu na Story?? Nitakufuata mpaka PM Ni Bora uandike Mara moja kwa wiki hata ikiisha wakati JPM anamaliza madaraka yake sawa tuu...
 
Mkuu ulichokifanya sio poa kabisa wengine tunamachungu ya kimichezo simba kushinda yanga kutoa sare tukaona tuje tupate faraja huku na unatonesha kidonda hakika Nina maumivu makali sana natangaza rasmi hata hii Valentine day atoke na bibi yake
 
Mambo ya kukung'uta siafu yanakata ghafla hivi? hapana fanya kitu mkuu usitufanyie hivi
 
I'm totally flabbergasted..ni bora mtu usilete stori kama huwezi kuimaliza na kama ulidhani utaimaliza haraka na umeshindwa basi bora kwenda nayo mosi mosi ili umalize maana stori ishapata interests nyingi na kuikatisha kama hivi ni kuwaumiza watu kihisia.

Mzee malizia huu mzigo,acha hizo pigo aisee.
 
We jipangie tu taratibu sisi tutasotea ikitoka tumo, we umesahau ngumi za Tyson tulivyokuwa tukizisotea unaambiwa saa 6 usiku unasubiri hutoki, fight inapigwa saa nne asubuhi.
 
Aisee Leo nimejifunza kitu kikubwa Sana kupitia comments za wadau juu ya kukatishwa story. KUFIKISHWA KILELENI. Hili Ni Jambo la msingi Sana Sana. Kumbe inahitajika kwa gharama yoyote Uhakikishe Mwenzio kafika KILELENI vinginevyo Ni kuzalisha Vita kubwa Sana.


Kaka mkubwa Baharia wa kwa Madiba@Konda msafi Tafadhali pliz tufikishe KILELENI ona jinsi tunavyohangaika. Kama uliweza kumwangaikia Shemeji yetu Khumbu kiasi kile basi na siye twakuomba tufikishe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…