Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Nimejitahidi sana kwenda sambamba toka page ya kwanza yani day one unaanza mpk leo lakini malipo yake ndo haya nashindwa kunyonyesha mtoto kwa umakini kwa sbb ya story hii lakini ndo hivi unaishia njiani. Ptuuuuh
 
Ukisikia kuponea chupuchupu ndiyo huko.
Santee kwa muendelezo
 
Sawa baba mchungaji
 
 
Nimecheka sana. Mkuu jikaze tu
 
Sasa ulipokuwa unalalama kwamba aache kusimulia ungepata funzo hili..!!??
 
Hii ni hadithi kama hadithi zingine.... Haina uhalisia.. Yaani mwanamke atoke kwenye uchokoraa wa kukosa hata hela ya kula asubuhi.... Anagongwa na madereva daladala... Hadi kufikia sijui kufanyakazi Bank.... Hadi kumiliki gari katika muda mfupi huo. Never. Hakuna uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…