Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

U
Utafute tu mkuu utaupata. Au omba watu wanaojua kutafuta nyuzi waupandishe hapa. Mie mwenyewe sijui jinsi ya kutag nyuzi hata nikiupata sitaweza kuupandisha hapa.
Ukiupata wewe andika chochote yaani comment ukifanya hivyo tu ukapost utakuja wenyewe mapokezi.
 
Kuna watu humu ni wavivu wa kupitia page after page. Wanaishia kusoma zile episodes zilizopangwa na moderators kule ukurasa wa kwanza wa huu mkasa. Moderators wameishia kuweka episode ya 32 wakati kuna episodes zaidi ya 20 hazipo hapo ukurasa wa mbele. So, watu wakisoma mpaka episode ya 32 wanadhani hii stori imeishia hapo wanaanza kunitolea povu kwa kukatisha stori. Mwenye uwezo wa kuwashitua moderators waziongeze hizo episodes hapo mbele afanye hivyo ili kuwarahisisha hawa rafiki zetu wavivu wa kupekua kila page.
 
Ww shusha vitu, nishasoma page zote.

Mungu alikuongoza uvae kitambulisho.
 
Kuna watu humu ni wavivu wa kupitia page after page. Wanaishia kusoma zile episodes zilizopangwa na moderators kule ukurasa wa kwanza wa huu mkasa. Moderators wameishia kuweka episode ya 32 wakati kuna episodes zaidi ya 20 hazipo hapo ukurasa wa mbele. So, watu wakisoma mpaka episode ya 32 wanadhani hii stori imeishia hapo wanaanza kunitolea povu kwa kukatisha stori. Mwenye uwezo wa kuwashitua moderators waziongeze hizo episodes hapo mbele afanye hivyo ili kuwarahisisha hawa rafiki zetu wavivu wa kupekua kila page.
Endelea kushusha story bro me nishasoma page zote, sana nataka kujua kifo kumbuk ilikuwaje
 
Mkuu umenitolea povu la kutosha mpaka nimejisikia vibaya. Unajua nini, uandishi wa kusummarize nahisi siuwezi. Kama umeisoma episode niliyoishia unaweza kuona niliahidi kusummarise ila nilishindwa. Labda ambacho sikukiongelea kwa kina ni kile kipengele Khumbu alipokuja na ndinga nini kilitokea baada ya kuingia ndani ya mjengo, maana nilirukia issue ya kutaka kuingia mikononi mwa police ambayo nimeielezea kwa kina bila kusummarise kama nilivyokuwa nimepanga. Anyway nafikiria kupata muda niiandike hii habari kwa kutumia laptop badala ya simu. Niandike matukio mengi ya kutosha then niyatupie hapa msome mpaka mhitaji kwenda mapumziko. Baada ya Khumbu kuanza kudate na Mayor nafikiri nahitaji kupaelezea kwa kina, pia mwisho wa mahusiano yetu, na siku naagana naye kurudi Tanzania napo ni kipengele kinachotoa machozi ambacho ningependa nikiielezea kwa mapana yake.
Mkuu kwanza hongera. Umeifanya siku yangu iwe poa sana. Nikuombe kitu kimoja we usilazimishe uimalize simulizi ndani ya siku kadhaa. Tumia hata mwezi simulizi yako imenifanya nikomenti hum.
 
Ila mzee baba @@konda msafi inaonekana ulikuwa humfikishi kwenye kilele huyo khumbu ndio maana alikuwa anakuletea drama... Inaonekana ulikuwa ukimaliza haja zako unalala fofofo..[emoji1][emoji1]
Kaka mwanamke ni kiumbe tofauti sana ukitumia muda mwingi, akili na nguvu kubwa kutaka kumwelewa utaishia kuumia....Kwa maelezo ya Konda Msafi na mwitikio wa Khumbu ni lazima Konda Msafi alikuwa anamfikisha Khumbu kileleni
 
Mkuu kwanza hongera. Umeifanya siku yangu iwe poa sana. Nikuombe kitu kimoja we usilazimishe uimalize simulizi ndani ya siku kadhaa. Tumia hata mwezi simulizi yako imenifanya nikomenti hum.
Inafariji sana kuona watu appreciate kama hivi. Mkuu usijali, wewe kuwa unapitapita tu hapa nitakuwa natupia vipande vipande mpaka niimalize hii simulizi.
 
nilikuja huku silencer kuchungulia vijana walivyofaidi ujana wao sasa linatokea lijamaa linachangia kila kitu hadi linamtisha mleta mada.
Siku hizi napitia nyuzi juu kwa juu, panapokwama tunachimba mkwara Mada zinaendelea
Umehamishia majeshi wapi mzee
 
Fanya ivini simple sana sijawai comment kwenye page za story..
Andika pembeni kidogo kidogo ata kwenye Notebook ya simu pale unapopata muda hakikisha unaandika ata week nzima kidogo kidogo tu afu jumamosi unaipaste hapa watu wanasoma kukata kiu ya week nzima coz tunafahamu kuandika kwa simu ni shida sana na inapoteza kweli muda.

So wewe ukipata muda unaandika kisa kimoja unamaliza kabisa then unaunga kingine ukimaliza vipanga vizuri unavitupia kila week kipande kimoja kirefu sana ata cha masaa 4 mtu akisoma analizika
 
Inafariji sana kuona watu appreciate kama hivi. Mkuu usijali, wewe kuwa unapitapita tu hapa nitakuwa natupia vipande vipande mpaka niimalize hii simulizi.
Ndio man tunapata mafunzo sana humu. Suala la msingi watu wengi tunakupongeza man. Sema kuanzia mliporudiana na khumbu mpaka pale unataka kushikwa na askari naona kama umekatisha matukio. Ndio maana nikak3ambia andika kipande kwa kipande hata kama utatumia mwezi. Sio mbaya ukawa unatupa kipande kimoja kwa siku.
 
Back
Top Bottom