Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Ndio man tunapata mafunzo sana humu. Suala la msingi watu wengi tunakupongeza man. Sema kuanzia mliporudiana na khumbu mpaka pale unataka kushikwa na askari naona kama umekatisha matukio. Ndio maana nikak3ambia andika kipande kwa kipande hata kama utatumia mwezi. Sio mbaya ukawa unatupa kipande kimoja kwa siku.
Kweli kabisa sikuongelea kwa kina pale Khumbu alipokuja na gari, pia mengi yalitokea kutokea siku hiyo mpaka kufikia tukio la kukutana na polisi.
 
Umehamishia majeshi wapi mzee
nipo hapahapa namsubiri huyu konda msafi kampokea getini Khumbu yupo na gari yake, afunguliwe, akabanduliwe, na bado hatujajua km yule bibie wa mlevi alibumbulua uuzaji wa unga humo ndani
wala issue ya POLISI na jamaa kurudi Bongo wakati Khumbu akifariki
tuwe wapole huenda jamaa akashusha moyo akatuwekea muendelezo
JF hamna kwingine story zote mbofumbofu
 
Mkuu umenitolea povu la kutosha mpaka nimejisikia vibaya. Unajua nini, uandishi wa kusummarize nahisi siuwezi. Kama umeisoma episode niliyoishia unaweza kuona niliahidi kusummarise ila nilishindwa. Labda ambacho sikukiongelea kwa kina ni kile kipengele Khumbu alipokuja na ndinga nini kilitokea baada ya kuingia ndani ya mjengo, maana nilirukia issue ya kutaka kuingia mikononi mwa police ambayo nimeielezea kwa kina bila kusummarise kama nilivyokuwa nimepanga. Anyway nafikiria kupata muda niiandike hii habari kwa kutumia laptop badala ya simu. Niandike matukio mengi ya kutosha then niyatupie hapa msome mpaka mhitaji kwenda mapumziko. Baada ya Khumbu kuanza kudate na Mayor nafikiri nahitaji kupaelezea kwa kina, pia mwisho wa mahusiano yetu, na siku naagana naye kurudi Tanzania napo ni kipengele kinachotoa machozi ambacho ningependa nikiielezea kwa mapana yake.
Jamaa una Hekima na Busara Sana unafaa kuwa Kiongozi ndiyo maana nikasema kwenda kwako nchi mbalimbali kumesaidia Sana kukuondolea utando kichwani.. Kwa ninavyowajua WaTz wangekuwa wamesusa na kuanza kurudisha matusi. Ila Siyo kwako. Unajibu kwa utulivu pia Ni msikivu Sana. Asante kwa kuona uhitaji wetu na kuamua kuendelea. Kweli kuandika kwenye simu ni kazi Sana Wewe jitahidi kuweka kwenye com hata Kama Ni Mara moja kwa wiki Lakini usituache njiani Kama Mradi wa umeme wa Gesi au bomba la Mafuta. Utufikishe KILELENI Kweli Kweli 😂😂😂😂😂 Big up Mkuu
 
Jamaa una Hekima na Busara Sana unafaa kuwa Kiongozi ndiyo maana nikasema kwenda kwako nchi mbalimbali kumesaidia Sana kukuondolea utando kichwani.. Kwa ninavyowajua WaTz wangekuwa wamesusa na kuanza kurudisha matusi. Ila Siyo kwako. Unajibu kwa utulivu pia Ni msikivu Sana. Asante kwa kuona uhitaji wetu na kuamua kuendelea. Kweli kuandika kwenye simu ni kazi Sana Wewe jitahidi kuweka kwenye com hata Kama Ni Mara moja kwa wiki Lakini usituache njiani Kama Mradi wa umeme wa Gesi au bomba la Mafuta. Utufikishe KILELENI Kweli Kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Big up Mkuu
Kijana vipi unadai kileleni tena
 
Umesamehewa Jamaa ana bonge la hekima angekuwa mwingine kiwanda Cha Mo kingehamia kwako. Pia wewe Ni muungwana umeomba radhi kwa dhati ukielezea Hisia zako. Big up
Ukifanya hivyo itakuwa poa sana mkuu...samahani kama umejisikia vibaya ila nimewakilisha hisia za wengi ambao hawawezi kuandika hapa...wengi waliumizwa na uamuzi wako nikiwemo mimi, wengi wameumia na kuongea mambo magumu kimoyomoyo...Take your time, andika hii story hadi mwisho, weka codes zote unazojua ili kulinda identity yako ila kikubwa tu zingatia kuwakata kiu wanaokufatilia....am so sorry once again konda msafi .. Hadithi yako imevuta hisia za wengi, ni kama vile mtu ana kiu cha maji halafu anapewa robo glasi, inakuwa inauma sana....Thanks bro, i will be waiting to read your story.
 
Anyway nafikiria kupata muda niiandike hii habari kwa kutumia laptop badala ya simu. Niandike matukio mengi ya kutosha then niyatupie hapa msome mpaka mhitaji kwenda mapumziko. Baada ya Khumbu kuanza kudate na Mayor nafikiri nahitaji kupaelezea kwa kina, pia mwisho wa mahusiano yetu, na siku naagana naye kurudi Tanzania napo ni kipengele kinachotoa machozi ambacho ningependa nikiielezea kwa mapana yake.
shusha taratibu ukipata nafasi Mkuu tuna mengi ya kujifunza km twende Bondeni au la na tukikutana na kina Khumbu ni salama au majanga
 
Mkuu umenitolea povu la kutosha mpaka nimejisikia vibaya. Unajua nini, uandishi wa kusummarize nahisi siuwezi. Kama umeisoma episode niliyoishia unaweza kuona niliahidi kusummarise ila nilishindwa. Labda ambacho sikukiongelea kwa kina ni kile kipengele Khumbu alipokuja na ndinga nini kilitokea baada ya kuingia ndani ya mjengo, maana nilirukia issue ya kutaka kuingia mikononi mwa police ambayo nimeielezea kwa kina bila kusummarise kama nilivyokuwa nimepanga. Anyway nafikiria kupata muda niiandike hii habari kwa kutumia laptop badala ya simu. Niandike matukio mengi ya kutosha then niyatupie hapa msome mpaka mhitaji kwenda mapumziko. Baada ya Khumbu kuanza kudate na Mayor nafikiri nahitaji kupaelezea kwa kina, pia mwisho wa mahusiano yetu, na siku naagana naye kurudi Tanzania napo ni kipengele kinachotoa machozi ambacho ningependa nikiielezea kwa mapana yake.
Sawa sawa Mkuu....Tupe vitu Mkuu
 
Kuna watu wanasema hii stori ni chai kwa kutokuamini kwamba Mayor hawezi kumdate Khumbu. Jamani kwanza Mayor ni diwani tu (local concilor) kama alivyokuwa Baba Levo wa Wasafi. Baba levo alikuwa diwani wa Kigoma hivyo baraza la madiwani lingeweza kumchagua kuwa mayor. Kwa hiyo mayor ni mtu mdogo tu. Pili wanasiasa wa nchi za wenzetu hawana makuu kama wa kwetu huku. Huyo mayor, binafsi namfahamu. Alikuwa ananyoa kwenye saluni ya mshikaji wetu mburundi. Kinyozi wake ndio alikuwa pia kinyozi wangu. Kwenye hiyo saluni tulikuwa tunanyoa bure tu. Mnamkumbuka yule mburundi tuliyekuwa tunaishi naye kule Rossburg pamoja na baba Isa? Huyo mburundi alikuwa ni mmojawapo wa vinyozi wa hiyo saluni.
 
Kuna watu wanasema hii stori ni chai kwa kutokuamini kwamba Mayor hawezi kumdate Khumbu. Jamani kwanza Mayor ni diwani tu (locol concilor) kama alivyokuwa Baba Levo wa Wasafi. Baba levo alikuwa diwani wa Kigoma hivyo baraza la madiwani lingeweza kumchagua kuwa mayor. Kwa hiyo mayor ni mtu mdogo tu. Pili wanasiasa wa nchi za wenzetu hawana makuu kama wa kwetu huku. Huyo mayor, binafsi namfahamu. Alikuwa ananyoa kwenye saluni ya mshikaji wetu mburundi. Kinyozi wake ndio alikuwa pia kinyozi wangu. Kwenye hiyo saluni tulikuwa tunanyoa bure tu. Mnamkumbuka yule mburundi tuliyekuwa tunaishi naye kule Rossburg pamoja na baba Isa? Huyo mburundi alikuwa ni mmojawapo wa vinyozi wa hiyo saluni.
Tumekusoma mkuu.wapo watu wanajifanya wajuaji sana mkuu.we leta mambo tupo pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu humu ni wavivu wa kupitia page after page. Wanaishia kusoma zile episodes zilizopangwa na moderators kule ukurasa wa kwanza wa huu mkasa. Moderators wameishia kuweka episode ya 32 wakati kuna episodes zaidi ya 20 hazipo hapo ukurasa wa mbele. So, watu wakisoma mpaka episode ya 32 wanadhani hii stori imeishia hapo wanaanza kunitolea povu kwa kukatisha stori. Mwenye uwezo wa kuwashitua moderators waziongeze hizo episodes hapo mbele afanye hivyo ili kuwarahisisha hawa rafiki zetu wavivu wa kupekua kila page.
Moderator BAK Maxence Melo
 
Kuna watu wanasema hii stori ni chai kwa kutokuamini kwamba Mayor hawezi kumdate Khumbu. Jamani kwanza Mayor ni diwani tu (local concilor) kama alivyokuwa Baba Levo wa Wasafi. Baba levo alikuwa diwani wa Kigoma hivyo baraza la madiwani lingeweza kumchagua kuwa mayor. Kwa hiyo mayor ni mtu mdogo tu. Pili wanasiasa wa nchi za wenzetu hawana makuu kama wa kwetu huku. Huyo mayor, binafsi namfahamu. Alikuwa ananyoa kwenye saluni ya mshikaji wetu mburundi. Kinyozi wake ndio alikuwa pia kinyozi wangu. Kwenye hiyo saluni tulikuwa tunanyoa bure tu. Mnamkumbuka yule mburundi tuliyekuwa tunaishi naye kule Rossburg pamoja na baba Isa? Huyo mburundi alikuwa ni mmojawapo wa vinyozi wa hiyo saluni.
Kaka Konda Msafi achana na watu wasiopenda kusoma vizuri ili waelewe kinachosimuliwa. Hata kama Mayor yaani Mwenyekiti wa Halmashauri kama anavyofahamika huku kwetu Bongo angekuwa na hadhi ya Rais bado angeweza kudate na Khumbu kwani hilo linawezekana. Mke wa Rais, PM n.k ana upekee gani unaweza kumtofautisha na wanawake wengine? Mimi naona wake za Marais ma PM n.k ni wanawake wa kawaida Kabisa.Tuendelee na stori broh tuachane na hawa wenzetu wenye mitazamo tata.
 
Back
Top Bottom