Ukifanya hivyo itakuwa poa sana mkuu...samahani kama umejisikia vibaya ila nimewakilisha hisia za wengi ambao hawawezi kuandika hapa...wengi waliumizwa na uamuzi wako nikiwemo mimi, wengi wameumia na kuongea mambo magumu kimoyomoyo...Take your time, andika hii story hadi mwisho, weka codes zote unazojua ili kulinda identity yako ila kikubwa tu zingatia kuwakata kiu wanaokufatilia....am so sorry once again
konda msafi .. Hadithi yako imevuta hisia za wengi, ni kama vile mtu ana kiu cha maji halafu anapewa robo glasi, inakuwa inauma sana....Thanks bro, i will be waiting to read your story.