Ukiupata wewe andika chochote yaani comment ukifanya hivyo tu ukapost utakuja wenyewe mapokezi.Utafute tu mkuu utaupata. Au omba watu wanaojua kutafuta nyuzi waupandishe hapa. Mie mwenyewe sijui jinsi ya kutag nyuzi hata nikiupata sitaweza kuupandisha hapa.
Mkuu utatupoteza tulia hukuhuku jf kamuulize lwanda magere
Ww shusha vitu, nishasoma page zote.Kuna watu humu ni wavivu wa kupitia page after page. Wanaishia kusoma zile episodes zilizopangwa na moderators kule ukurasa wa kwanza wa huu mkasa. Moderators wameishia kuweka episode ya 32 wakati kuna episodes zaidi ya 20 hazipo hapo ukurasa wa mbele. So, watu wakisoma mpaka episode ya 32 wanadhani hii stori imeishia hapo wanaanza kunitolea povu kwa kukatisha stori. Mwenye uwezo wa kuwashitua moderators waziongeze hizo episodes hapo mbele afanye hivyo ili kuwarahisisha hawa rafiki zetu wavivu wa kupekua kila page.
Endelea kushusha story bro me nishasoma page zote, sana nataka kujua kifo kumbuk ilikuwajeKuna watu humu ni wavivu wa kupitia page after page. Wanaishia kusoma zile episodes zilizopangwa na moderators kule ukurasa wa kwanza wa huu mkasa. Moderators wameishia kuweka episode ya 32 wakati kuna episodes zaidi ya 20 hazipo hapo ukurasa wa mbele. So, watu wakisoma mpaka episode ya 32 wanadhani hii stori imeishia hapo wanaanza kunitolea povu kwa kukatisha stori. Mwenye uwezo wa kuwashitua moderators waziongeze hizo episodes hapo mbele afanye hivyo ili kuwarahisisha hawa rafiki zetu wavivu wa kupekua kila page.
Duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Konda kukatisha story imeniuma zaidi ya teke la pumbu
nilikuja huku silencer kuchungulia vijana walivyofaidi ujana wao sasa linatokea lijamaa linachangia kila kitu hadi linamtisha mleta mada.Aisee mtaalam upo mhandisi wetu
Mkuu kwanza hongera. Umeifanya siku yangu iwe poa sana. Nikuombe kitu kimoja we usilazimishe uimalize simulizi ndani ya siku kadhaa. Tumia hata mwezi simulizi yako imenifanya nikomenti hum.Mkuu umenitolea povu la kutosha mpaka nimejisikia vibaya. Unajua nini, uandishi wa kusummarize nahisi siuwezi. Kama umeisoma episode niliyoishia unaweza kuona niliahidi kusummarise ila nilishindwa. Labda ambacho sikukiongelea kwa kina ni kile kipengele Khumbu alipokuja na ndinga nini kilitokea baada ya kuingia ndani ya mjengo, maana nilirukia issue ya kutaka kuingia mikononi mwa police ambayo nimeielezea kwa kina bila kusummarise kama nilivyokuwa nimepanga. Anyway nafikiria kupata muda niiandike hii habari kwa kutumia laptop badala ya simu. Niandike matukio mengi ya kutosha then niyatupie hapa msome mpaka mhitaji kwenda mapumziko. Baada ya Khumbu kuanza kudate na Mayor nafikiri nahitaji kupaelezea kwa kina, pia mwisho wa mahusiano yetu, na siku naagana naye kurudi Tanzania napo ni kipengele kinachotoa machozi ambacho ningependa nikiielezea kwa mapana yake.
Kaka mwanamke ni kiumbe tofauti sana ukitumia muda mwingi, akili na nguvu kubwa kutaka kumwelewa utaishia kuumia....Kwa maelezo ya Konda Msafi na mwitikio wa Khumbu ni lazima Konda Msafi alikuwa anamfikisha Khumbu kileleniIla mzee baba @@konda msafi inaonekana ulikuwa humfikishi kwenye kilele huyo khumbu ndio maana alikuwa anakuletea drama... Inaonekana ulikuwa ukimaliza haja zako unalala fofofo..[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wananchi wenye hasira kaliWewe ni kizazi cha kenge au? Watu tuna hasira zetu hapa za stori kukatishwa we unaleta ushubwada
Inafariji sana kuona watu appreciate kama hivi. Mkuu usijali, wewe kuwa unapitapita tu hapa nitakuwa natupia vipande vipande mpaka niimalize hii simulizi.Mkuu kwanza hongera. Umeifanya siku yangu iwe poa sana. Nikuombe kitu kimoja we usilazimishe uimalize simulizi ndani ya siku kadhaa. Tumia hata mwezi simulizi yako imenifanya nikomenti hum.
Umehamishia majeshi wapi mzeenilikuja huku silencer kuchungulia vijana walivyofaidi ujana wao sasa linatokea lijamaa linachangia kila kitu hadi linamtisha mleta mada.
Siku hizi napitia nyuzi juu kwa juu, panapokwama tunachimba mkwara Mada zinaendelea
Ndio man tunapata mafunzo sana humu. Suala la msingi watu wengi tunakupongeza man. Sema kuanzia mliporudiana na khumbu mpaka pale unataka kushikwa na askari naona kama umekatisha matukio. Ndio maana nikak3ambia andika kipande kwa kipande hata kama utatumia mwezi. Sio mbaya ukawa unatupa kipande kimoja kwa siku.Inafariji sana kuona watu appreciate kama hivi. Mkuu usijali, wewe kuwa unapitapita tu hapa nitakuwa natupia vipande vipande mpaka niimalize hii simulizi.
Ndugu nini kinakusumbua? Basi acha sisi tudanganywe wewe mwerevu kaa pembeni. Hatukutaki.Kutoka uchokoraa stand au sokoni hadi kuwa dem wa mayor tena kwenye jiji kubwa.... Hii ni uongo mtakatifu
Wewe umeona Mayor ni mtu mkubwa sana sio. Mbona Mayor alikuwa anakuja kunyoa kwenye salon za waburundi hizi za mitaani?Kutoka uchokoraa stand au sokoni hadi kuwa dem wa mayor tena kwenye jiji kubwa.... Hii ni uongo mtakatifu
Kuna salon moja pale workshop ilikuwa inamilikiwa na mburundi rafiki wa jamaa yetu don mkubwa, huyo mayor unayemuona mtu mzito alikuwa anakuja kunyoa pale.Ndugu nini kinakusumbua? Basi acha sisi tudanganywe wewe mwerevu kaa pembeni. Hatukutaki.