Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Kweli kabisa sikuongelea kwa kina pale Khumbu alipokuja na gari, pia mengi yalitokea kutokea siku hiyo mpaka kufikia tukio la kukutana na polisi.
 
Umehamishia majeshi wapi mzee
nipo hapahapa namsubiri huyu konda msafi kampokea getini Khumbu yupo na gari yake, afunguliwe, akabanduliwe, na bado hatujajua km yule bibie wa mlevi alibumbulua uuzaji wa unga humo ndani
wala issue ya POLISI na jamaa kurudi Bongo wakati Khumbu akifariki
tuwe wapole huenda jamaa akashusha moyo akatuwekea muendelezo
JF hamna kwingine story zote mbofumbofu
 
Jamaa una Hekima na Busara Sana unafaa kuwa Kiongozi ndiyo maana nikasema kwenda kwako nchi mbalimbali kumesaidia Sana kukuondolea utando kichwani.. Kwa ninavyowajua WaTz wangekuwa wamesusa na kuanza kurudisha matusi. Ila Siyo kwako. Unajibu kwa utulivu pia Ni msikivu Sana. Asante kwa kuona uhitaji wetu na kuamua kuendelea. Kweli kuandika kwenye simu ni kazi Sana Wewe jitahidi kuweka kwenye com hata Kama Ni Mara moja kwa wiki Lakini usituache njiani Kama Mradi wa umeme wa Gesi au bomba la Mafuta. Utufikishe KILELENI Kweli Kweli 😂😂😂😂😂 Big up Mkuu
 
Kijana vipi unadai kileleni tena
 
Umesamehewa Jamaa ana bonge la hekima angekuwa mwingine kiwanda Cha Mo kingehamia kwako. Pia wewe Ni muungwana umeomba radhi kwa dhati ukielezea Hisia zako. Big up
 
shusha taratibu ukipata nafasi Mkuu tuna mengi ya kujifunza km twende Bondeni au la na tukikutana na kina Khumbu ni salama au majanga
 
Sawa sawa Mkuu....Tupe vitu Mkuu
 
Kuna watu wanasema hii stori ni chai kwa kutokuamini kwamba Mayor hawezi kumdate Khumbu. Jamani kwanza Mayor ni diwani tu (local concilor) kama alivyokuwa Baba Levo wa Wasafi. Baba levo alikuwa diwani wa Kigoma hivyo baraza la madiwani lingeweza kumchagua kuwa mayor. Kwa hiyo mayor ni mtu mdogo tu. Pili wanasiasa wa nchi za wenzetu hawana makuu kama wa kwetu huku. Huyo mayor, binafsi namfahamu. Alikuwa ananyoa kwenye saluni ya mshikaji wetu mburundi. Kinyozi wake ndio alikuwa pia kinyozi wangu. Kwenye hiyo saluni tulikuwa tunanyoa bure tu. Mnamkumbuka yule mburundi tuliyekuwa tunaishi naye kule Rossburg pamoja na baba Isa? Huyo mburundi alikuwa ni mmojawapo wa vinyozi wa hiyo saluni.
 
Tumekusoma mkuu.wapo watu wanajifanya wajuaji sana mkuu.we leta mambo tupo pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moderator BAK Maxence Melo
 
Kaka Konda Msafi achana na watu wasiopenda kusoma vizuri ili waelewe kinachosimuliwa. Hata kama Mayor yaani Mwenyekiti wa Halmashauri kama anavyofahamika huku kwetu Bongo angekuwa na hadhi ya Rais bado angeweza kudate na Khumbu kwani hilo linawezekana. Mke wa Rais, PM n.k ana upekee gani unaweza kumtofautisha na wanawake wengine? Mimi naona wake za Marais ma PM n.k ni wanawake wa kawaida Kabisa.Tuendelee na stori broh tuachane na hawa wenzetu wenye mitazamo tata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…