Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Nimeshangaa sana umemuita mwamba,Huyu ni kima sio mwamba
 
Af hata sio mambo yangu hayo ya kupenda mzigo ulioninginia[emoji23][emoji23].

Sema dada zangu nyie "msio jaaliwa" tutavumiliana tu kikubwa uhai.
Sindo nawashangaagaa[emoji23]
Mnajikuta shekhe kipoozeo. Acheni kututengaa
 
Nataka kuanzisha hushtag ya #don't stress Konda msafi# maana huo muda anaowajibu nyie ni episode nyingine haya hata kama ni uongo si unajifunza kitu ni lazima iwe ukweli wewe mwenye unadanganywa na mkeo, mmeo,boyfriend,mchepuko, kiserengeti boy sembuse Konda msafi konda baba nasema chapa kazi (in jiwe voice) achana na watu wanaohangaika hii issue ni kweliii au laa
 
Una akili za kitoto cjui ushamba. Mi kuna mshikaji alikuwa anapiga demu mmoja na kiongoz mkubwa tu wa nchi hii. Tena huyo kiongozakampa huyo demu diplomatic pasport kabisa awe anasafiri muda wowote nae. Lakin mshikaji alikuwa anapiga tu. Kwenye mapenz hakunaga cha cheo chief.
 
Mkuu kabla ya kupata hii exposure kwann usingejifunza walau matumizi ya alama za uandishi?
 
Aisee, we jamaa hebu tulia.

Watu wameshare demu na Raia namba moja sembuse diwani
 
Meya mwenye Status kubwa ni yule wa Tamthiliya za kifilipino tu.
 
you made my day, umenichekesha sana leo, siijui sana port elizabeth ila nasikia kuna sehemu nyingi tu watoto wanakuwepo, yan bado lile swala la wababa kuwa na mitako mikubwa linanichekesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜…
 
Kweli kabisa chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…