khumbu_peresa
Member
- Feb 11, 2021
- 28
- 105
NgingakwenzelaniNamsubiria khumba..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NgingakwenzelaniNamsubiria khumba..
wamukelekile ezweni lethu.Kwa sifa alizomwagiwa Khumbu humu,jamaa atasababisha watu tupate hamu ya kwenda SOZAFRIKA bila sababu za msingi.
akuyona indaba yakho.Utakuwa Khumbu wa Valentine weye unataka kula mpunga wa kijana wetu
Usisome kama ni kamba [emoji119][emoji119][emoji119]Hii ni kamba kama kamba za kufungia mbuzi
Hiyo avatar imemchanganyaUzamwamwa huo tangulini dumu akamuita dume mwenzake kipenzi naona mmemsahau makonda nyie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa 071 utawajua tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]
yebo yimi.aisee khumbu
Naongeza popcorn mkuuNilipokabidhiwa hilo geto nikaanza na kumfikiria Khumbu. Nikawa najisemea Khumbu akifika hapa nadhani nitapewa na vya uvunguni bila hata kuomba hahahahaha! Geto lilikuwa na kila kitu. Kwanza lipo maeneo ya kishua hasa, kama ni bongo basi lipo Masaki, nalinganisha tu na Masaki kwa sababu kwa bongo nadhani Masaki angalau ndio sehemu ya watu wenye kipato cha juu ila ki ukweli suburbs za South africa huwezi kulinganisha na Masaki. Masaki pa ovyo tu. Geto lilikuwa limetulia. Lilikuwa na zulia nene laini la sufi. Kulikuwa na makochi ukikaa unadumbukia, very comfortable. Vyumba vyote vilikuwa na vitanda vimetandikwa mashuka safi na mito milaini minne kila kitanda, vyumba vyote ni self na zina makabati yale ya moja kwa moja ya kuhifadhia nguo. Nilianza kufanya ukaguzi kila chumba kujua labda kuna "mambo" yanahifadhiwa humo lakini kulikuwa hakuna kitu chochote kinachofanana na hicho nilichokuwa nawaza. Ila chumba kimoja kulikuwa na lotion na vikorombwezo vya wadada kuashiria kuwa kuna mtu huwa anakuja. Na pia kulikuwa na mashati na nguo chache za kiume.
Nikaanza kupiga mahesabu ya kumleta Khumbu tuanze kupeana raha za dunia. Maana Khumbu anapenda maisha ya kifahari kama haya.
Ila nikawa najiuliza kama mshikaji hata maindi akiona nishaanza kuvusha mizigo. Jamaa alikuwa anamfahamu Khumbu na alikuwa anamkubali sana. Kipindi anauza viatu pale workshop alikuwa anapiga sana stori na Khumbu hadi akawa anamfundisha kiswahili. Pia Khumbu alikuwa anamkubali sana jamaa maana alikuwa hachoki kumwongelea eti jamaa ni mcheshi na ni mtu wa masihara sana. So, nikawa najipa matumaini hata kama atakuja kujua kuwa Khumbu huwa analetwa hapa hatamaindi sana ingawa nilikuwa nimepanga niwe na mleta kwa kificho nisiwe najiachia sana mpaka jamaa akajua.
Itaendelea...
Sawa mkuu, nadhani zimebaki episodi kama mbili tukifikie hicho kipengele.Mkuu konda msafi usisahau kale ka kipengele ka kumtafuna jicho
Wazee wa 065 [emoji3][emoji3][emoji23]Mkuu konda msafi usisahau kale ka kipengele ka kumtafuna jicho
Yaani umejiunga leo ushaanza kututushia[emoji1][emoji1]akuyona indaba yakho.
konda msafi episode fupi sana ,jaribu kurefushaSawa mkuu, nadhani zimebaki episodi kama mbili tukifikie hicho kipengele.
Sawa mkuu, nadhani zimebaki episodi kama mbili tukifikie hicho kipengele.
Hii stori ndefu chief sio ya kuisha leo. Ni stori iliyochukua miaka 6 kama sio 7.konda msafi hebu elezea harakaharaka tumalizie hiyo story utasababisha wikend ndoa ziwe chungu wife anachukia napokuwa bize na simu mida ya wkend anataka anifaidi na hali hii ya kimvua Dar ndo inadumisha ndoa hahahaaa just kidding