Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 574
Wewe dogo hivi una adabu kweli?Nilio wakwaza naomba mnisamehe bure, yalikuwa maoni yangu kwa Konda msafi, bahati nzuri kayaelewa na kuyafanyia kazi.
Inaonesha Dunia imefika sehem mbaya mno, mambo ambayo ni machukizo kwa Muumba wetu ndo yanapendwa na wengi.
Niwakumbushe tu kuwa Mungu aliiangamiza sodoma na Gomora kwa Dhambi za kutumia Tg, hivyo geukeni sasa mkatubu kwa kulia na kuomboleza nanyi mtasamehewa.
Tutakuja kukupaka wese shauri yako