Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Sisi tunajua Khumbu bado yupo kama alifariki hayo ni yako.
 
Mkuu endela na story hata ikifika mwakani sisi wasomaji wako tupo hapa acha kutukatili kiasi hicho.
 
Weka namba ya simu...wanaotaka uendelee alikufaje...
Watoe hela.
Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
 
Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Weka na picha zake Sasa tumuone marehemu khumbu
 
Huo uzi unaitwaje?
Siukumbuki niliupa title gani ila jaribu kupekua kwenye nyuzi zangu za mwanzo kabisa. Unahusu dillema niliyoipata baada ya kujikuta nimetumbukia kwenye mapenzi ya wasichana wawili halafu wote wakapata ujauzito. Nikawa kwenye dillema yupi nimuoe yupi nimuache. Ila nilliamua kumuoa yule wa chuo. Utafute utaupata tu.
 
konda msafi nadhani ingekuwa bora, hata ungeweka summary ya mambo ya msingi tu ili kuhitimisha hii stori yako ambayo naona imekamata interest na hisia za watu wengi. Weka kwa kifupi summary ya matukio makuu, ukihitimisha na picha ya kumbu (RIP).
 
Ni moja ya nyuzi ako au ni sambamba na huu [emoji849]
 
konda msafi nadhani ingekuwa bora, hata ungeweka summary ya mambo ya msingi tu ili kuhitimisha hii stori yako ambayo naona imekamata interest na hisia za watu wengi. Weka kwa kifupi summary ya matukio makuu, ukihitimisha na picha ya kumbu (RIP).
Usipende nusunusu we mzee kama umechoka kusoma tulia sikiliza neno uko kanisan
 
Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Umezingua bigtime..
 
Mkuu nimempata khumbu, kweli ni pisi kali nimekubali.. Na katoto kake kale kakike.. anyway siwezi kumpost maana hujaridhia.. Jamaa ake yule alikuja kufariki.. naomba niishie hapo[emoji1784][emoji1784] Tupe mambo tupe mambo mkuu@Kondamsafi
Nitumie PM mkuu nimcheck huko mkuu
 
Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Acha bangi basiiiii.. huu Uzi unafuatiliwa mpaka na sisi matajiri ujue ... Hata mawaziri wapo hapa ... Endelea na hi simulizi mkuu
 
Back
Top Bottom