Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Ebu ngoja kwanza unakatishaje hivi ghafla
Bora usingesimulia mkuu ukiamua kuweka story yako weka yote
 
Nimesoma story yote, kabla sijafanya hitimisho, niulize, umejifunza nini, hasa wanafunzi waliopo vyuo?
 
UZI UNA MENGI YA KUJIFUNZA HASA UKIANGALIA MWISHO WAKE.

Msikimbilie kumlaumu konda msafi naye ana majukumu mengine, japo mwisho unahuzunisha khumbu hayupo tena duniani.

Hapa ndo mjue maisha ya starehe yana mwisho wake, vyote ni ubatili mtupu, jiwekeeni hazina mbinguni hamtokaa mjute daima enyi kizazi cha nyoka [emoji236]
 
Kwani ni lazima kuchangia ww boya?
kwanini usipite kimya kimya, mara ukosoe
ninyi ndio mnamkwaza konda msafi acheni atoe story yake mpaka mwisho na ikiwezekana ikae Post #1
lete ya kwako basi km hii imekukwaza ukashindwa kwenda Jukwaa la DINI?
MODERATOR tunaomba Jukwaa lile la watu wazima lingetufaa hawa watoto wa chekechea na walokole wabakie huku.
Sio kila post kuchangia sasa mmeshaharibu week end yetu,
wengine tukipitia humu tunaondoa stress zetu
Aisee mtaalam upo mhandisi wetu
 
Back
Top Bottom