Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Uzi umenipandisha nyege! Someone to lean on me please!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu ngoja kwanza unakatishaje hivi ghaflaJamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Huyu ndiyo Maya Angelou hataki utani.
Amefeli parefu sana yaniEbu ngoja kwanza unakatishaje hivi ghafla
Bora usingesimulia mkuu ukiamua kuweka story yako weka yote
enyi kizazi cha nyoka [emoji236]
SanaaaaAmefeli parefu sana yani
Aisee mtaalam upo mhandisi wetuKwani ni lazima kuchangia ww boya?
kwanini usipite kimya kimya, mara ukosoe
ninyi ndio mnamkwaza konda msafi acheni atoe story yake mpaka mwisho na ikiwezekana ikae Post #1
lete ya kwako basi km hii imekukwaza ukashindwa kwenda Jukwaa la DINI?
MODERATOR tunaomba Jukwaa lile la watu wazima lingetufaa hawa watoto wa chekechea na walokole wabakie huku.
Sio kila post kuchangia sasa mmeshaharibu week end yetu,
wengine tukipitia humu tunaondoa stress zetu
Haya ndio maneno sasaBasi acha nisummarize matukio yote yaliyobaki kwenye episode moja.
Safi sana,na kwa Mpalange kidogoBasi acha nisummarize matukio yote yaliyobaki kwenye episode moja.
Ni boraaa,na picha tafadhariiBasi acha nisummarize matukio yote yaliyobaki kwenye episode moja.
Basi acha nisummarize matukio yote yaliyobaki kwenye episode mmo
Hapo ndo sawa pia cheza pote ila picha usisasahau mkaliBasi acha nisummarize matukio yote yaliyobaki kwenye episode moja.